True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Mfalme_wa_Nyika mwaka 2001 nililala na Muathirika, mwaka 2004 nikiwa Chuo Cape Town nililala na Goma ( Malaya ) la Afrika Kusini aliyeathirika, mwaka 2013 nililala la Waathirika Watatu ( Wawili nikijua na Mmoja sikujua ) wote hawa sikutumia Condoms na nimeapa sitotumia Condoms Milele na kila nikipima tena vile Vipimo vya uhakika nakutwa wala sijaathirika na VVU.

Na hata Kesho kuna Demu Mmoja najua kabisa kuwa ni Muathirika wa VVU naenda Kumbandua na kama Kawaida yangu nitauza Mechi ( sitotumia Condoms ) na najua sitoambukizwa VVU.

Tokea niambiwe na Madaktari Bingwa ( Specialists ) kuwa ukiwa una Damu ya Group O Positive ( O+ ) na ikatokea tena ukawa una tatizo la Pumu ( Asthma ) ya Kurithi ( kama niliyonayo GENTAMYCINE ) kupata VVU itakuwa Ngumu kama vile Yanga SC kuwa Bingwa wa CAFCC Msimu wa 2022 / 2023.

Sasa niigeni Mfe.
Hahaha mimi pia group yangu ya damu ni 0+ , ila jamaa siguigi
 
We don't learn. I bet if he knows he if free from HIV still he will forget what he went through. He will go to his old self and cheat on his girlfriend. I just told him who knows perhaps the girlfriend also is cheating. He might have escaped to his thoughts but might get infected from girlfriend 🤣🤣

haya mambo ukiyawazia unakufa mdogo. Mda mwingine ni ku enjoy every moment you get. Hata kufurahi ja wazazi, ndugu na marafiki perhaps today is the last day you see light 😀 anaona he can escape death
We jamaa na kiingereza bubu chako unabwata bwata kama Janeth bana
 
Whatever huyo binti naona she deserve hiyo feedback , unajua uko positive why unataka kuharibu maisha wengine? ,

Somehow you are right somehow not, ingekua marekani huyo dada angefungwa kwa kuambukiza wenzie makusudi

Heheheh na chuo wajue anao ajifunze kutulia emu
Asante mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba tamuuu atakuwepo wakati wa kuapaa pale altareni.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama namuona vile baba tamu akifunua shela kumkisi wife wake mbele ya paroko🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear jomoneeee, watoto tuta adopt, sayansi imerahisisha mamboo etii.
ooh so cute🤩
Hivi kumbe kuadopt watoto ni mambo ya kisayansi eeh?🤣
Hongeren sana Mr and Mrs tamuu🤣🤣
 
Dogo watu tuna mambo mengi ya kufanya we kufa usituchoshe na uzi mrefu
 
Zinaa ,ngono zembe haijawai kumuacha mtu salama hata siku Moja.

Brother hiyo ni wake up call kwako ,hurakiwi kurudia ujinga huo tena
.
Tafuta mke oa ,kujifanya kibolo dinda matokeo yake unakufa na presha na kisukari
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama namuona vile baba tamu akifunua shela kumkisi wife wake mbele ya paroko[emoji1787][emoji1787]
Ndiwooooo ndiwooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ooh so cute[emoji2956]
Hivi kumbe kuadopt watoto ni mambo ya kisayansi eeh?[emoji1787]
Hongeren sana Mr and Mrs tamuu[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii
 
Acha wenge mm niliguza tu nyapu ya mwenye HIV ila Cha Moto nilikionaa mm
 
Japokuwa mtoa mada uzi wako una harufu ya kokoa kwa mbali, lakini yote kwa yote hauna kilio msiba wa kujitakia😂
# Fade away or die slowly like a cigarette, wacha kulia lia.
 
Sir.
Hatari nyingi zipo midomoni na vichwani mwa watu tu.

Siku nimegundua kwamba ni asilimia ishirini tu ya nyoka ndio wenye sumu nilishangaa sana. Da'Vinci atakusaidia zaidi. Ni kwambaa kati ya nyoka kumi ni wawili tu ndo wenye sumu kweli!!

Kuhusu risk za UKIMWI ni kweli, almost sure ni kuongezewa damu tu. Ila nyingine zote tafiti zinasema vingine
Hapo utata ni kuwajua hao nyoka wawili
 
Back
Top Bottom