True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

We don't learn. I bet if he knows he if free from HIV still he will forget what he went through. He will go to his old self and cheat on his girlfriend. I just told him who knows perhaps the girlfriend also is cheating. He might have escaped to his thoughts but might get infected from girlfriend 🀣🀣

haya mambo ukiyawazia unakufa mdogo. Mda mwingine ni ku enjoy every moment you get. Hata kufurahi ja wazazi, ndugu na marafiki perhaps today is the last day you see light πŸ˜€ anaona he can escape death
 
Jifunze kufupisha habari kuna maelezo mengine hayana ulazima kuyaandika.
 
Unajua jamaa hapo alipo anakonda mdogomdogo kulingana na haya maneno tunayomwandikia, Kila akisoma anazimia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anaamka akisoma tena anazimia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anaamka, Jambo la msingi azingatie lishe bora matunda kwa wingi mazoezi maji mengi kuepuka ngono zembe ili kulinda wengine na utumiaji wa dawa kwa wakati akienda nje ya hapo kafa...
 
Umefanya makusudi kuandika maelezo meeeeeengiiii, ili watu wasisime ibaki kuwa siri yako
 
Anawaza bure tu πŸ˜€ He will be fine having HIV is not the end of life.

anyways nitakupa dawa ya ulcers nitakufundisha jinsi ya kutengeneza. Kuna kipindi nililazwa niliteseka sana. Ndio maana sinywo pombe, wine kidogo na mbege kiasi nje ya hapo situmii kileviπŸ˜€
 
Hichi kiazi kimetokea wapi?

Usifuate maelezo yake utakufa mdomo wazi mapema sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah hii mara ya Tano naona huu ujumbe ukipost kwenye majukwaa ya ngoma GENTAMYCINE unampoteza kijana kwa ushahuri huu. .
 
Mkuu nakupa SALUTE mana umekumbuka siraha kubwa sana MAFUTA ya utelezi yani hata usingeenda kupima tena ungekuwa NEGATIVE tu...

Mafuta ya utelezi ndio siraha ninayoikubali sana ni mwaka wa pili sasa natumia utelezi kwa hizo pisi na bado ni NEGATIVE namshukuru MUNGU MMOJA SANA.


Kuna siku nimepata pisi moja kali ipo kama shombeshombe hivi club nikachukuwa namba hii nakumbuka ilikuwa 2021 enzi hizo mimi na mitungi ni marafiki wakubwa ila nikitaka kula tunda lazima nikumbuke utelezi wangu.

Basi bana nikapata hilo toto tukapena namba fresh...siku ya kuja geto huyo mani nilienda kununua vipimo kabisa vya kupima HIV na HENNESSY V.S.O.P hii wala bata wanaijua hii pombe na nilinunua sababu mtoto alikuwa mzuri balaa mixer TATTOOS daah yani noma.

Asee mida ikafika demu akatimba geto nikamuliiza umekula akasema yupo fresh basi nikatoa mchupa demu kuuona akatabasamu..

Tukapiga mitungi pela na stori mbeleni huko nikamuuliza mara yako ya mwisho kupima HIV ni lini akanijibu mwezi uliopita nikamuuliza tena tunaweza kupima sasa hivi akajibu fresh tu..

Mimi najiamini sana nikijisikiaga tu kupima UKIMWI napima kwahiyo najijua sina UKIMWI aslimia 100.

Nikachukuwa vipimo nikaanza kupima mimi kama kawaida yangu majibu ni NEGATIVE tu.Muda wa demu ukafika asee akapima sasa bana sinajiamini demu hawezi kukimbia...

Nimengia chumbani kuweka mambo sawa na kutoa kojo kidogo chooni asee narudi seating room sion demu naagalia kipimo chake hakuna wala mkoba wake.

Napiga simu haipatikani...nikaanza kuchekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sana na kusema umenikosa asee..

Nikandelea na mitungi yangu.

Kwahiyo mkuu usiogope hayo mambo SIRAHA KUBWA NI MAFUTA YA UTELEZI TU.
 
Dah! Kweli utakua umensaidia sana...

Ila pombe kali sitaki tena kaka maana niliona nakufa ile siku weeeh! Acha tu yani Sekunde tatu(3) za utulivu kisha sekunde(15) za maumivu full kuhangaika sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uzinzi hauna mshahara, ni hasara. kwa hizi bakora ulizochapwa na dawa ya PEP sijui kama utakuwa na hamu ya papuchi kiboro kimekuwa kidogooo kama piritoni. maza fanta. πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Dah! Kweli utakua umensaidia sana...

Ila pombe kali sitaki tena kaka maana niliona nakufa ile siku weeeh! Acha tu yani Sekunde tatu(3) za utulivu kisha sekunde(15) za maumivu full kuhangaika sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ndio imenisaidia pia na ninakula pilipili kama sina akili nzuri.

Uwe makini mzee. Yani ukitua tu sehemu cocastic mama tamu yupo πŸ˜€
 
Yaani hii stori yako bro kila kipande ninachosoma navuta picha ya manzi fulani nimepiga kama mara 3 hivi kavuu..

Huwa najilipua ila hofu yako umenifanya hadi niingize hofu na mi..

Iko ingine pia kipombe pombe niliibeba ni manzi huwa anasafiri na mabasi haya kama konda.ila yule dem alikataa niingiize kbs alichofanya ni kushika dudu langu na kujipiga kibrashi hadi akapizz..sasa watu naskia wanasema tuu limeungua pia ukilichek dem ni lizuri ila kama kapigwa spoti spoti hivi ya weldingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…