True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

🀣🀣 mie ni Irene wa wapi?punguza stress zako mkuu,mechi uuze mwenyewe huko uliko halafu stress uzilete jfπŸ€”we endelea kukamia nyapu,nyapu hazikomolewi dudeπŸ™
Ironbutterfly wewe Irene nakujua mbo wewe, stress zako za kuwa mwathirika usilete huku kwa uzi wangi, mimi nimezingua ndio ila usijifanye kunitakia mabaya, mbona wewe na miukimwi yako tupo hatujawahi kukutenga huku jf!?
 
ndio imenisaidia pia na ninakula pilipili kama sina akili nzuri.

Uwe makini mzee. Yani ukitua tu sehemu cocastic mama tamu yupo [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shemu Una nn lakini? Hebu tuachee na baba tamuu wanguuu.

Tuna enjoy wenyeweee, acha tugandane km rubaaa.
 
Nawabandua hao 24/7 Mkuu. Kama utamu wa Pipi ni Mate yako basi hata Utamu wa Mbunye ni Mkuyenge wako tu.
Hapana hao wote nakuachia uwafaidi wewe mwenye O Positive. Kuwa makini na hiyo Positive hapo mwishoni

Ila tu malaya hanyonywiπŸ˜€ usije piga deki au kunyonya chuchu au ukajifanganya ngoja ulambe shingoπŸ˜€ unaweza jikuta umetolewa kwenye magazeti siku inayofuata. .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shemu Una nn lakini? Hebu tuachee na baba tamuu wanguuu.

Tuna enjoy wenyeweee, acha tugandane km rubaaa.
shemeji shemeji usizime taaπŸ˜€
 
Anampa pole tu mwana hapa kwani mbaya nini![emoji23][emoji23][emoji23]

cocastic mama tamuu I miss you so much dear! [emoji7][emoji3059][emoji8]
I mic u too baba tamuu [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]

Unifundishage ung'eng'e basi nawee, au ndo unatakaa nikutie aibu tukiwa tunazungunza na marafiki wenzio wasomi??

Nipelekee kwa Ras simba bhana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilisex na dem mmoja kwa kondom ikagoma, nikapiga kavu kesho yake nikamwambia tupime akachelewa kuja aisee nilienda ctc kuchukua pep sema baadae akaja tukapima hakuwa na maambukizi, pep nilizitupa kule
 
Ww ni wakufa elimu yako na kazi yako vyote vinaenda kuoza pamoja na mwili wako funza watakua rafikizakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyie mnaojidai wasomi mnakufa kizembe sana yaani kilichokuzaa ndicho kinakuua dah unakufa hivi karibuni jitahidi usife mwenyewe
 
Najua unanitania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pale UDSM kwani huwa unaenda kutembeaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi umebakisha mdaa gani kumaliza mama tamuuu ili tuanze mipango ya maisha na ndoa kwa ujumlaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣 akufundishe gheto hivi mkiwa wawil mnazungumza nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee baba kachangaaa mbna uko hivyoo?? Khaaaah
Umechachukaa vibayaa uwiiiih
haha unajua nina mda gani sijaonja mbusus😬 wanawake wa humu wana roho mbaya hawataki kunisaidia
Mie mwenyewee taa toshaaa, au hujawahi nionaa wee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hata tukiwa gizani pa kuchomeka baba tamu anapaonaa wala hapati tabu kupapasa. Woiiiiiiiih
haha wote tunang'aaa hakuna chausiku wala cheusi😬

Sasa huyu IamBrianLeeSnr anaweza kosea pa kulengaπŸ˜€
 
Mie mwenyewee taa toshaaa, au hujawahi nionaa wee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hata tukiwa gizani pa kuchomeka baba tamu anapaonaa wala hapati tabu kupapasa. Woiiiiiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah! Sitaki kucheka sana napata maumivuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijui hata unasoma kitu gani hyo chuo ya jiji usilopenda. Nmeishia njiani.
Ngonjera nyiiingi, wakat ushasema unakunywa PEP huko.
UNgeandika summary biashara ikaisha.
Msomi kabisa unaandi "shut tha fakaap".?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba kachangaa mie sikuwezii khaaah, uko motooo vibayaa mweeeeh!!
Mbna kazii ipooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…