No matter utajiteteaje mkuu;
1. Hukupaswa kumpima HIV pasi ridhaa yake. Mtu akigoma kupima na umeuza mechi, fine yako ni kuanza PEP. Usijiangalie wewe tu, hata yeye alikuwa na sababu zake za kutotaka kupima. Fikiria wewe ndo ungekuwa unalazimishwa upimwe.
2. Bado ungeweza kumpeleka mpaka hostel na hata bila kumpiga. Huna uhakika kama alikuwa anajua hali yake ya kiafya. Jiulize pia, ingekuwaje kama wewe ndo ungekuwa unapokea hiyo treatment.
All in all, shukuru Mungu, shukuru PEP na ujitahidi, usiuze mechi.