Mkuu kwa maandiko yako haya nikajua bado unaishi na wazazi ukisubili majibu ya form fourSiku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums nomaa sana
Unasema kumpiga nimekosea?Okk nadhani kwa ueneaji huu wa samrt phone jf pia kuna watu wa kila namna ambao tunawaona mtaani tofauti tu ni kuwa humu wapo virtually. Kwa hivo ni kuwa makini kama ambavyo unakuwa makini na watu usiowajua unaokutana nao barabarani. Ila kumpiga ulikosea, ungefuata sheria tu.
ya nauliSasa hela ya kazi gani?
Mbona wanawake wa jf ni waungwana sana? Wengi wao wanashughuli zao mbona? Nilikutana nao mimi ni watu wazuri sana tuuuMkuu kwa maandiko yako haya nikajua bado unaishi na wazazi ukisubili majibu ya form four