TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

Huu uzi tuutathmini kwa mapana yake,kuna wadada maarufu humu mpaka kufikia hapa sijawaona wakitia neno,ambavyo sio kawaida yao,jiwe la gizani hili
 
Tangu lini ukapiga story na demu tena mgeni ukasinzia wewe utakuwa sio rijali
 
Hao ni wale wanaowinda, kila siku wanakuja na ID mpya... kuna mmoja jina () namfahamu vizuri sana... kila mtandao yupo... ni muuzaji wa k" maarufu sana...
 
Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Ni story tu zikakufanya upitiwe na usingizi!!! Au ndo tujiongeze wenyewe teh teh teh
 
Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Inaonekana hujielewi kabisa, huku JF watu wanatumia majina fake na bado unawaamini?mbaya zaidi hujui tabia zake lakini unampeleka hadi kwako! Tena ingekua safi sana kama angekuibia kila kitu hadi nyeti zako ili ukiamka unakuta chini ya kitovu pako flati kama hukuzaliwa nayo tuone kama ungerudia upuuzi
 
Wewe ni kijana wa dar? Ndio ni kweli, wa mkoani hatuna pigo za kulala lala hovyo mbele ya ...
 
kuharibu soko? kwani watu wanajiuza mkuu?
Kwenye soko kuna
*bidhaa nzuri quality
*kuna bidhaa mbovu
*kuna mnunuaji, muuzaji na msindikizaji
*kuuza
*kununua
*fahari ya macho kuaangali na kutathmini
*wanaobandika matangazo advertising
*kuna wabeba mizigo
--ni kawaida mkuu katika jamii ya watu wengi kuna watu wanatabia tofauti--
Kuna hadi masheikh, wachungaji, wafanyabiashara, walimu, wanafunzi, madaktari, wanasheria, nk
 
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa sio kila mtu ni mwaminifu humu JF unatakiwa kuwa makini ni kuna wezi na matapeli wakubwa humu.
Kuhusu hiyo story umeongopa kabsaa, Naona umeamua kutunga story hiyo ili kufikisha ujumbe huu mzito kwa wadada humu.
Ila pia wapo walio wastarabu sana.
 
l wish l could believe you Stunter,mgeni wako aje,moige story mpaka mwenyeji usinzie,na lengo la kukutana ilikuwa ni nini?sio kugegedana?kama sio kugegedana ilikuwa nn aje mpaka usinzie?
FACT[emoji16] [emoji16]
 
sidhani kama humu kuna wanawake wa aina hiyo. Humu wote tunajiheshimu na tuko na ishu zetu za kueleweka.
 
Huwa ninashangaa sana kuna mtu wa JF ? labda wamiliki lakini wengine ni watu ambao hupitia kwenye forum mbalimbali kupata wanachokihitaji hivyo jf sio nyumba useme ina permanent resident.
 
Back
Top Bottom