mbiligenda
Member
- Dec 3, 2015
- 87
- 48
Hela aliondoka nazo kikwete siku izi ni mkopo mwanzo mwishokwa nini hukumpa hela
HahahahhhhhhSitisha kwa muda huo uamuzi wako hadi uonane na mimi. Baada ya hapo.... kaza uzi.
Ni story tu zikakufanya upitiwe na usingizi!!! Au ndo tujiongeze wenyewe teh teh tehSiku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Inaonekana hujielewi kabisa, huku JF watu wanatumia majina fake na bado unawaamini?mbaya zaidi hujui tabia zake lakini unampeleka hadi kwako! Tena ingekua safi sana kama angekuibia kila kitu hadi nyeti zako ili ukiamka unakuta chini ya kitovu pako flati kama hukuzaliwa nayo tuone kama ungerudia upuuziSiku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Kwenye soko kunakuharibu soko? kwani watu wanajiuza mkuu?
FACT[emoji16] [emoji16]l wish l could believe you Stunter,mgeni wako aje,moige story mpaka mwenyeji usinzie,na lengo la kukutana ilikuwa ni nini?sio kugegedana?kama sio kugegedana ilikuwa nn aje mpaka usinzie?
Na ndivyo itakavyokuwaMkuu kwa maandiko yako haya nikajua bado unaishi na wazazi ukisubili majibu ya form four
Wewe ni mwl wa kiswahili mpendwa?= kudhalilika
Ndo mana ID mpya kila siku.Hizi tuhuma, zitawaharibia soko wanawake waJF hasa kutoka MMU.
*Inabidi waje kupinga vikali sana, kumbe wengine wezi