LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Anadhani anatuchafua lakini hajui anajichafulia! Ukitaka kusema ubaya wa mwenzako anza wako kwanza ili u balance storyMbona wanawake wa jf ni waungwana sana? Wengi wao wanashughuli zao mbona? Nilikutana nao mimi ni watu wazuri sana tuuu