Anadhani anatuchafua lakini hajui anajichafulia! Ukitaka kusema ubaya wa mwenzako anza wako kwanza ili u balance storyMbona wanawake wa jf ni waungwana sana? Wengi wao wanashughuli zao mbona? Nilikutana nao mimi ni watu wazuri sana tuuu
Watuu na Dictionary zenu! Hongera= kudhalilika
Hivi umemuamini huyu dogo?? Humjui vizuri huyu mzee wa fiksifiksi???
Sikia Chagga, mtu unamkirimu kwako, baadae unampa hela kwa ajili ya shukrani ya kampani yake, ndiyo tulivyozoea na ndiyo utamaduni wetu. Nasena utamaduni kwasbb haiuluzwi pesa unayotoa ni kwa sababu gani,ingawa kimantiki hakuna sababu.kwa nini hukumpa hela
Swali zuri, mleta mada ajibu.l wish l could believe you Stunter,mgeni wako aje,moige story mpaka mwenyeji usinzie,na lengo la kukutana ilikuwa ni nini?sio kugegedana?kama sio kugegedana ilikuwa nn aje mpaka usinzie?
Be blessed.mm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
Mwnyw apa nshawai kutapeliwa elfu 50Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Mwanamke wa dar huyo...Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Umeniwahi mkuu maana hata mm nilikuwa naomba video wakati anaibeba pc la hasha niungo wa cheti cha phdWeka picha basi tuone tukio lilikuwaje?
nimemuelewa sema huyu mleta mada anatabia ya kutuponda sana wanawake .. nikaona acha nimuattackSikia Chagga, mtu unamkirimu kwako, baadae unampa hela kwa ajili ya shukrani ya kampani yake, ndiyo tulivyozoea na ndiyo utamaduni wetu. Nasena utamaduni kwasbb haiuluzwi pesa unayotoa ni kwa sababu gani,ingawa kimantiki hakuna sababu.
Sasa hapa jamaa anamuongelea makwapukwapu. Wewe unaweza ukwakwapuliwa kisha ukatoa zawadi kwa mkwapuaji.
Miss Chagga napenga sana comment zako za mapenzi, mbn leo zimeshuka kiwango? Nn kimekusibu, ulikuwa na haraka gani ama haukusoma ukaelewa?
angempa tuWala Huduma hakumoa!!!
santeeeeeeHapana ST, si kwa udhalilishaji huu, huwez kutuita cc vibaka lazma wi ajue.
hahahahahahah nimecheka nilivyosikia badoo, ujue walioko kwenye badoo wengine wamo humu pia.Atakuwa kachanganya huyu
Kakutana na mwanamke wa badoo anasema jf
loooooh umekuja eeeehHuyo demu atakuwa ni jje's!!....believe me! 🙂
unacheka nini kwa mfanoha ha ha
wifi imekaaje hiiasinitaje tafadhali