TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

Hivi kweli unaweza kukutana na mchana ukaenda naye ukifika unalala jicho moja [emoji35][emoji35] acha uongo
 
Reactions: bbc
NINA wasi wasi wa hii story kuna uwezekano mkubwa ikawa ni hadithi tu za kutunga kwa ninavyokujua mtoa mada kama ungefanyiwa kitendo hiko...lazima ungeanika hadi picha za aliyekufanyia...
Nilikuwa nataka nifanye ivyoivyo sema nikaona haina ishu, so ni bora nilivyo wa-alert
 
Weka picha basi tuone tukio lilikuwaje?
 
Bora tu iwe ivyo kuliko kujihami na majambazi alafu unakuja kuibiwa na kajidemu kalaini hata kuvunja biskuti hakawezi

Ulikuw ushakastukia mapema nn kwnn ulitumia kastyle ka kumpga chabo
 
Ulikuw ushakastukia mapema nn kwnn ulitumia kastyle ka kumpga chabo
Unajua, unapokutana na mtu ambae hujamjua kiundani hutakiwa kujiaminisha asilimia zote,
na hiko ndo kilichonisaidia
 
Ha,ha,haaaa.....
STUNTER muongo,, nina wasiwasi ulikataliwa wewe ndo mana umeleta tuhuma hapa.BTW jje's anajua uliingiza dem kwa geto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…