wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Hivi kweli unaweza kukutana na mchana ukaenda naye ukifika unalala jicho moja [emoji35][emoji35] acha uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahyo inawezekana ni uwongo? sasa unatunga uongo ili iwejeHivi umemuamini huyu dogo?? Humjui vizuri huyu mzee wa fiksifiksi???
sitakiNaomba tuonane tafadhali
Nilikuwa nataka nifanye ivyoivyo sema nikaona haina ishu, so ni bora nilivyo wa-alertNINA wasi wasi wa hii story kuna uwezekano mkubwa ikawa ni hadithi tu za kutunga kwa ninavyokujua mtoa mada kama ungefanyiwa kitendo hiko...lazima ungeanika hadi picha za aliyekufanyia...
na yy angetulia asingeonana na ww yasingemkuta pole yakeSasa kuzalilika si mtu anataka mwenyewe? Kwani lazima uibe?
Weka picha basi tuone tukio lilikuwaje?Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Wameee Wameee. Tena umekaonea huruma ungekapiga mitama kama sita hivi.Nimejifunza kutoka kwako ile ya Wambuzi haha
Mi naomba unitajie jina lake PM maana isije nikamchukua nikamshirikisha kwenye project zangu za ujasiriamali maana ataniliza hela zenyewe ngumuMnataka nipigwe Ban?
Bora tu iwe ivyo kuliko kujihami na majambazi alafu unakuja kuibiwa na kajidemu kalaini hata kuvunja biskuti hakawezi
Sasa utamshirikishaje mtu usiyemjua?Mi naomba unitajie jina lake PM maana isije nikamchukua nikamshirikisha kwenye project zangu za ujasiriamali maana ataniliza hela zenyewe ngumu
Yeah, bado naishi kwa wazazi, au kuna tatizo mimi kuishi kwa wazazi IKIWA
YESU MPAKA LEO BADO ANAISHI KWA BABA YAKE