Nimetoa tangazonawewe umeshatafutwa kweli?au ndio umetoa tangazo wakutafute sasa.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Umeona eeetoka tuachie uongo
wanawake angalieni wanaume wa kuongea nao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio ukome kulala lala hovyo. Story tuu umelala ungepewa achiboboo si ndio ungefariki kabisa.
Usihukumu ndg. Mara nyingi huwa siamini habari za huyu jamaaHizi tuhuma, zitawaharibia soko wanawake waJF hasa kutoka MMU.
*Inabidi waje kupinga vikali sana, kumbe wengine wezi
we kwa nini umuite halafu nauli humpi?Kwani alipokuja hakujiandaa?
basi siyo dem wa jf, huyo itakua umemtoa fb mana ndo kuna kila aina, hakuna dem wa jf anayeweza kuiba banah.Hakuna,
penye ukweli lazima tuseme na msione mmeonewa cuz anaekwambia ukweli ujue anakupenda Ven
Mkuu ujue humu kuna watoto na vilazer, kufahamiana sio vibaya bali inategemea umeonana na nanimm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
He,heh...Usihukumu ndg. Mara nyingi huwa siamini habari za huyu jamaa
sawa kakaMkuu ujue humu kuna watoto na vilazer, kufahamiana sio vibaya bali inategemea umeonana na nani
na hela ya kunua sabuni na uchakavu je?Kwani tulikubaliana kwamba nitamlipia nauli??
Na kama alihitaji nauli si angeniomba kuliko kuiba?
Sasa nauli gani yenye thamani ya laptop?????