TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

Hapana ST, si kwa udhalilishaji huu, huwez kutuita cc vibaka lazma wi ajue.
Hakuna,
penye ukweli lazima tuseme na msione mmeonewa cuz anaekwambia ukweli ujue anakupenda Ven
 
Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna,
penye ukweli lazima tuseme na msione mmeonewa cuz anaekwambia ukweli ujue anakupenda Ven
basi siyo dem wa jf, huyo itakua umemtoa fb mana ndo kuna kila aina, hakuna dem wa jf anayeweza kuiba banah.
 
mm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
Mkuu ujue humu kuna watoto na vilazer, kufahamiana sio vibaya bali inategemea umeonana na nani
 
Usihukumu ndg. Mara nyingi huwa siamini habari za huyu jamaa
He,heh...
ST, anachangamsha wikend. Siamini km unaweza ukakutana na mtu hapa mkapanga mpk kuonana geto, jf hakuna mwanamke wa hvyo
 
we kwa nini umuite halafu nauli humpi?
Kwani tulikubaliana kwamba nitamlipia nauli??
Na kama alihitaji nauli si angeniomba kuliko kuiba?
Sasa nauli gani yenye thamani ya laptop?????
 
Kwani tulikubaliana kwamba nitamlipia nauli??
Na kama alihitaji nauli si angeniomba kuliko kuiba?
Sasa nauli gani yenye thamani ya laptop?????
na hela ya kunua sabuni na uchakavu je?
 
Back
Top Bottom