Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
Ili atudanganye afurahikwahyo inawezekana ni uwongo? sasa unatunga uongo ili iweje
Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
aiseeIli atudanganye afurahi
Jamaa mzushimm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
Yaani umesema ukweli mtupu, ila naamini wapo wanaojitambua sema sasa mpaka umjue sio leomm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
wapo my dear lkn ndio hivyo utamjuajee?Yaani umesema ukweli mtupu, ila naamini wapo wanaojitambua sema sasa mpaka umjue sio leo
Hicho ndo kitendawili kama sio methaliwapo my dear lkn ndio hivyo utamjuajee?
Mkuu.... Waambie warembo woote wa jf wani PM maana mim huwa simaind hata wakiniibia,, yaani utaiba mpaka ukome !!Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
[emoji28][emoji28]Mkuu.... Waambie warembo woote wa jf wani PM maana mim huwa simaind hata wakiniibia,, yaani utaiba mpaka ukome !!