TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu

Kuna wezi ila jifunze na uboreshe namna ya kutunga habari za uongo.
 
Mtaje jina mkuu, @jamiforums tusaidiene kuweka mawasiliano ya hawa watu!
 
Ndo mkomage
Sio kila mtu unaemshobokea ni mwema.
Waliomo humu ndio haohao waliopo mtaani akili kumkichwa.
Tena angekuibia mpaka boksa kabisa
 
mm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
Yaani umesema ukweli mtupu, ila naamini wapo wanaojitambua sema sasa mpaka umjue sio leo
 
Asante Stunter kwa tahadhari yako!!! Nitakuwa makini katika hili la kushobokea galz wa humu jf
 
[emoji23] [emoji23]
Hata sikutaka kumalizia hadith yako!!
Japo ni kweli humu kuna watu tofauti na tunavyodhania ila siyo kama huyo wako!! Umeamua kutuvunja mbavu tu
 
hata angekuwa bibi yangu angekuibia yani dume zima unamuita mwanamke kwako unapiga naye story weee mbaya zaidi unasinzia unamuacha mtoto wa kike
 
Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Mkuu.... Waambie warembo woote wa jf wani PM maana mim huwa simaind hata wakiniibia,, yaani utaiba mpaka ukome !!
 
Kama alilia kama fisi hakika hatarudia Tena kufanya unyambafu wa namna
 
Back
Top Bottom