Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Katika maandiko yako yote hapa umeniudhi sana na umemkosea hata Mungu aliyekuumba tubia dhambi hiiYeah, bado naishi kwa wazazi, au kuna tatizo mimi kuishi kwa wazazi IKIWA
YESU MPAKA LEO BADO ANAISHI KWA BABA YAKE
Kwa kazi mlifanya ya kupiga story mpaka ukapitiwa usingizi jicho mojaSasa hela ya kazi gani?
Wakati wadau wamemtupia malike ya kutosha kwa hiyo commentKatika maandiko yako yote hapa umeniudhi sana na umemkosea hata Mungu aliyekuumba tubia dhambi hii
ahaaa na wewe dogo kakunywesha chai ya pilipili umekubali? hivi jf **** wanawake wa ajabu kiasi hicho? eti laptop mara walet mmmmh dogo huyu mwongo najua wanaume wa jf na wavulana ndo zenu kutushusha hadhi ila ila mungejua basi tu niishie hapa.mm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
Sitisha kwa muda huo uamuzi wako hadi uonane na mimi. Baada ya hapo.... kaza uzi.mm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
Wengine hii kitu imetugusa haswa maana ndio tumepata mabebez wetu karibuni. Hata kama anatania au ametunga, binafsi imenishtua sana ingawa nawaamini sana madada wa JF kwa sababu kwa wale wachache niliopata kukutana nao, hakuna hata mmoja alieonyesha upuuzi.ahaaa na wewe dogo kakunywesha chai ya pilipili umekubali? hivi jf **** wanawake wa ajabu kiasi hicho? eti laptop mara walet mmmmh dogo huyu mwongo najua wanaume wa jf na wavulana ndo zenu kutushusha hadhi ila ila mungejua basi tu niishie hapa.
wewe unadhani asemacho huyu ni kweli,hapa ni sehemu ya story tumm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
naona umefurahi kwa story tamuha ha haaa,jaman