TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Faiza Foxy huyo hahaha chezea Faiza nini ww
 
l wish l could believe you Stunter,mgeni wako aje,moige story mpaka mwenyeji usinzie,na lengo la kukutana ilikuwa ni nini?sio kugegedana?kama sio kugegedana ilikuwa nn aje mpaka usinzie?
Unataka kujua lengo kuu la mimi nayeye Kukutana au Unataka kujua lengo Kuu la Mimi Kuanzisha Thread?
 
Unataka kujua lengo kuu la mimi nayeye Kukutana au Unataka kujua lengo Kuu la Mimi Kuanzisha Thread?
nahitaji kujua lengo la kumuacha mgeni we usinzie na amekuja kwako.
 
Penshen ilishaisha hivi sasa naanza kuuza mashamba... maisha haya lazima niwatafunie totoz wenu kabla sijaRIP
Usiokaa home ukacheza na wajukuu unahangaika na makurumbembe,
Utakufa kwa khanga shauri yako...
 
Usiokaa home ukacheza na wajukuu unahangaika na makurumbembe,
Utakufa kwa khanga shauri yako...
Nimeletwa duniani kuwazalisha wanawake... nzi kufia kidondani ni ujasiri
 
Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Jf imevamiwa na panya road.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sipati picha demu alivyokomaa mguu
 
Ahahahah pole sana mkuu, hako kastyle ka jicho moja itabd na mm niwe nakatumia
Bora tu iwe ivyo kuliko kujihami na majambazi alafu unakuja kuibiwa na kajidemu kalaini hata kuvunja biskuti hakawezi
 
Back
Top Bottom