Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
KabisaNetanyahu alivyo bwege anaweza mtanguliza huyu kubwa jinga mbele za haki halafu akawasogezea shombo Iran.
Lamomy mama lake mpaka Huku upo mpenzi wangu mmmmwaaaaa bebiπππππYeye awapelekee moto kabla hawajamuwahi..!!
Wa kutekeleza wosia wake hayupo.
Hahaha π. Ngoja ni nyamaze.Haya sasa tupate uchambuzi wa masuala ya vita za kimataifa kutoka kwa wachambuzi wa kuvundika kutoka Bongo, wakisema Trump n mjinga π
Huwezi kuwa mjinga afu ukaongoza USA, ile Sio Tz hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi
Mtu yupo mbalizi Mbeya anasema Trump ni mjinga π Wabongo bhanaHahaha π. Ngoja ni nyamaze.
Mbongo akishiba viazi mbatata anamengi ya kusema.Mtu yupo mbalizi Mbeya anasema Trump ni mjinga π Wabongo bhana
Hizo taarifa zinapikwa na MOSSAD, na aliyezipeleka ni Netanyahu majuzi alipokwenda kuonana nae..Mission ishasetiwa apo trump ashaona yupo JE file sasa kuepuka fedheha lazima aseme ivo hlf tukio likitokea wapate nafasi ya kumnyuc IRan
Stormy Daniels,mcheza picha za ngono aliyekula tunda la mti wa kati na Trump, kwenye kitabu chake kaandika dudu cha Trump kidogo kina umbo la uyoga mdogoHaya sasa tupate uchambuzi wa masuala ya vita za kimataifa kutoka kwa wachambuzi wa kuvundika kutoka Bongo, wakisema Trump n mjinga π
Huwezi kuwa mjinga afu ukaongoza USA, ile Sio Tz hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi
Hizo habari za dudu ya Trump mm inanihusu nn?Stormy Daniels,mcheza picha za ngono aliyekula tunda la mti wa kati na Trump, kwenye kitabu chake kaandika dudu cha Trump kidogo kina umbo la uyoga mdogo
Anyways, Trump ni mfanyabiashara,pale ikulu anapiga madili tu na wafanyabiashara wenzie
Katika nchi yenye hatari ya mjinga kuiongoza basi USA namba moja
Kwamba anamua ili US wapate sababu ya kuwatwanga Iran. Sema kama kweli wanamuwinda kumuua italeta vita kubwa wakifanikiwa, US hatokaa kimya.Netanyahu alivyo bwege anaweza mtanguliza huyu kubwa jinga mbele za haki halafu akawasogezea shombo Iran.