Trump aacha wosia endapo atauliwa na Iran

Makobaz bhana 😂
Nyie Subirini kipigo tuu, Acheni kulialia
 
Hata Maduro alisema haiwezi kutokea 😂

Hata yule rais wa Iran ambaye Israel walipita na roho yake kwenye helikopta alisema haiwezi kutokea

Hata kobaz mwenzako Osama nae alisema haiwezi kutokea
Iran watafunga Strait of Hormuz, unaelewa madhara yake? ni makubwa , bei ya mafuta na gas itapanda haijapata onekana...
 
Haya sasa tupate uchambuzi wa masuala ya vita za kimataifa kutoka kwa wachambuzi wa kuvundika kutoka Bongo, wakisema Trump n mjinga 😂

Huwezi kuwa mjinga afu ukaongoza USA, ile Sio Tz hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi
SIKIA: Kuwepo tu kwenye daftari la mahudhurio la Jeffrey Epstein's Island ni ishara tosha kuwa Trump ni zaidi ya mjinga!

Jeffrey Epstein saga inathibitisha hakuna IMMUNITY ya ujinga!
 
Mjinga Hawez kuongoza USA.
Haya, ww ambaye una akili unaongoza nn
Trump ni miongoni mwa viongozi wajinga kuwahi kuiongoza USA.
Ni bahati tu USA ilishaendelea hivyo athari haziwezi kuonekana moja kwa moja.
Fuatilia siasa za kikanda ndio utaona hilo.
Ama sivyo kama utakua unabishana na haujadiliani ili kujifunza.
 
Duh!...hii kali.

Iran itamkuta wapi huyu Mzee Ili imuue?..

T14 Armata Yoda
 
Siku ambayo Irani itathubutu kumuua Trump ndio siku ambayo Dunia itaandika historia ya nzito dhidi ya Irani , nasisitiza ndio siku ambayo hatasalia muiranj hata mmoja kwenye USO wa Dunia.
 
Siku ambayo Irani itathubutu kumuua Trump ndio siku ambayo Dunia itaandika historia ya nzito dhidi ya Irani , nasisitiza ndio siku ambayo hatasalia muiranj hata mmoja kwenye USO wa Dunia.
Una historia ya idadi ya Marais wangapi wa America waliouliwa?
Soma historia ya vita ya Bay of Pig, inaonesha namna gani kuna vita inaweza kuanzishwa isiwe inaungwa mkono na baadhi ya viongozi wa juu wa Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…