Secret service wataruhusu Rais mwingine auwawe miaka mingi baada ya JFK ?..... hiyo pia ni too risky kwa Israel...labda iwe inside job japo ni ngumu sana kwa US..Iran hawana hiyo nia ya kumuua Trump. Na wanajua consequences za kumuua au kufanya hilo jaribio. Trump kama kufa atauwawa na Israel ili wapate visingizio vya Marekani kuishambulia Iran.
Nashangaa pia!
USA kitu gani, Genghis Khan aliongoza Mongol Empire na ujinga wake ukasababisha anguko la Mongol Empire!Mjinga Hawez kuongoza USA.
Haya, ww ambaye una akili unaongoza nn
Lakini nimesikia kuwa Marekani anawapenda sana Wairan, na moja kati ya sababu ya Marekani kutaka kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Iran ni kuwasaidia wananchi wa Iran kupindua utawala wa Ayatollah.Siku ambayo Irani itathubutu kumuua Trump ndio siku ambayo Dunia itaandika historia ya nzito dhidi ya Irani , nasisitiza ndio siku ambayo hatasalia muiranj hata mmoja kwenye USO wa Dunia.
Akiuliwa ataapishwa rais mwingine na atatoa amri tofautiSiku ambayo Irani itathubutu kumuua Trump ndio siku ambayo Dunia itaandika historia ya nzito dhidi ya Irani , nasisitiza ndio siku ambayo hatasalia muiranj hata mmoja kwenye USO wa Dunia.
Hackers wa Iran wame hack Siri inayofichwa ya Trump akivitafuna vitoto vidogo kwa mpango wa JeffreyHuyu dingi sio mzima huko X anaongeaga ujinga ujinga mwingine TU, Ayatollah kampa direction Leo atamreset Hilo wenge
Hatari ipo jirani kwa washirika wa US hasa walio karibu na Iran. Mbali na hapo mbona Iran ni mtoto mdogo saana kwa Iran.Marekani anaweza kumpiga Irani lakini sio jambo dogo kama tunavyofikiria.