Trump aagiza utaifishaji wa vifaa vya kupambana na Korona

ngusillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2019
Posts
1,064
Reaction score
2,017
Rais wa Marekani Donald Trump ameagiza makampuni ya marekani kusitisha uuzaji na kutaifisha vifaa vyote vinavyotumika kupambana na ugonjwa wa virusi vya korona hata vile ambavyo vilishauzwa.

Bw. Trump alisema anatumia sheria ya Uzalishaji kwa ajili ya ulinzi (Defence Production Act) kuyataka makampuni ya marekani kuzalisha vifaa vya tiba kwa ajili ya soko la ndani la marekani. Alisema "tunahitaji vifaa hivi kwa matumizi ya dharura ya ndani na tunapaswa kuvipata".

Kufuatia agizo hilo, marekani wametangaza kufanikiwa kutaifisha maelfu ya mashine za kupumulia zilizokuwa zinaelekea nchi za ulaya na kwingineko. Mamlaka za marekani zimetangaza kushikilia maski laki mbili za kupumulia N95, maski za kufanyia upasuaji laki moja na thelathini, na glovu za kukinga mikon laki sita.

Kufuatia hatua hizo za marekani, waziri wa ulinzi wa ndani wa Ujerumani amelalamikia kitendo cha marekani kupora maski zilizokuwa zinasafirishwa kuelekea Ujerumani zilizoagizwa kwa ajili ya jeshi la polisi. Waziri huyo amekifananisha kitendo hicho na uharamia.

Amesema "hii siyo njia sahihi ya kushughulikia majanga kwa nchi washirika (wa magharibi). Hatupashwi kutumia njia za mwituni kupambana na janga la dunia".

Chanzo BBC.

Kama wazungu wameanza kupambana wao kwa wao sisi huku tutarajie nini? Labda tumwombe Mungu atulinde. Hawa wazungu wapo desperate na wanapambana na hali zao. Mpaka wananyang'anyana Maski na Respirators .

Kazi ipo.

Hapo ni tafsiri kidogo ya hii habari kutoka BBC (English)

Coronavirus: US accused of ‘piracy’ over mask ‘confiscation’
The US has been accused of redirecting 200,000 Germany-bound masks for its own use, in a move condemned as "modern piracy".

The local government in Berlin said the shipment of US-made masks was "confiscated" in Bangkok.

The FFP2 masks, which were ordered by Berlin's police force, did not reach their destination, it said.

Andreas Geisel, Berlin's interior minister, said the masks were presumably diverted to the US.

The US company that makes the masks, 3M, has been prohibited from exporting its medical products to other countries under a Korean-War-era law invoked by President Donald Trump.

On Friday, Mr Trump said he was using the Defence Production Act to demand that US firms provide more medical supplies to meet domestic demand.

"We need these items immediately for domestic use. We have to have them," Mr Trump said at the daily Coronavirus Task Force briefing at the White House

He said US authorities had taken custody of nearly 200,000 N95 respirators, 130,000 surgical masks and 600,000 gloves. He did not say where they were taken into US hands.

Mr Geisel said the diversion of masks from Berlin amounted to an "act of modern piracy" , urging the Trump administration to adhere to international trading rules.

"This is not how you deal with transatlantic partners," the minister said. "Even in times of global crisis, there should be no wild-west methods."

A 'treasure hunt' for masks
Mr Geisel's comments echo the sentiments of other European officials, who have complained about the buying and diversion practices of the US.

In France, for example, regional leaders say they are struggling to secure medical supplies as American buyers outbid them.

The president of the Île-de-France region, Valérie Pécresse, compared the scramble for masks to a "treasure hunt".

"I found a stock of masks that was available and Americans - I'm not talking about the American government - but Americans, outbid us," Ms Pécresse said. "They offered three times the price and they proposed to pay up-front."

As the coronavirus pandemic worsens, demand for crucial medical supplies, such as masks and respirators, has surged worldwide.

Earlier this week, the World Health Organization (WHO) said it was considering changing its guidance on whether people should wear face masks in public.

At present, the WHO advises that masks do not provide sufficient protection from infection to justify mass usage. But some countries have taken a different view, including the US.

On Friday, Mr Trump announced that the Centers for Disease Control (CDC) will now recommend that Americans use non-medical, cloth face coverings to help prevent the spread of the virus.

The US has 273,880 recorded cases of Covid-19, the highest number in the world by a large margin.

Covid-19, the disease caused by coronavirus, has affected more than one million people and killed almost 60,000 globally, the latest figures show.

'Significant humanitarian implications'
In a separate development, 3M said the Trump administration had asked it to stop exporting US-made N95 respirator masks to Canada and Latin America.

The request had "significant humanitarian implications", the company warned, and could prompt other countries to act in kind.

The company says it manufactures about 100 million N95 masks per month - about a third are made in the US, and the rest produced overseas.

President Trump said he had used the Defence Production Act to "hit 3M hard", without providing additional details. The law dates back to 1950 and allows a president to force companies to make products for national defence.

Canadian Prime Minister Justin Trudeau told reporters on Friday that "it would be a mistake to create blockages or reduce trade".
 
Oxygen ni bidhaa muhimu kwa binadamu.
Dunia itizame upya ni wapi tumekosea ili kujisahihisha.
Kwa kuanzia ni vema Dunia ikajiridhisha na hewa chafu inayozalishwa viwandani na technologia zinazo athili upatikanaji wa hewa ya Oxygen ulimwenguni.
Inawezekana mojawapo ya upungufu wa hewa hiyo ni kuungua kwa misitu duniani,ukame na hewa za sumu zitokazo viwandani.
Sisi kama Taifa mojawapo ya Mataifa ya Ulimwengu ni wajibu wa kuchua hatua ikiwemo kampeni ya upandaji miti na utunzaji wa mazingira kwa vizazi vijavyo.
 
Rais wa Marekani Donald Trump ameagiza makampuni ya marekani kusitisha uuzaji na kutaifisha vifaa vyote vinavyotumika kupambana na ugonjwa wa virusi vya korona hata vile ambavyo vilishauzwa.

Bw. Trump alisema anatumia sheria ya Uzalishaji kwa ajili ya ulinzi (Defence Production Act) kuyataka makampuni ya marekani kuzalisha vifaa vya tiba kwa ajili ya soko la ndani la marekani. Alisema "tunahitaji vifaa hivi kwa matumizi ya dharura ya ndani na tunapaswa kuvipata".

Kufuatia agizo hilo, marekani wametangaza kufanikiwa kutaifisha maelfu ya mashine za kupumulia zilizokuwa zinaelekea nchi za ulaya na kwingineko. Mamlaka za marekani zimetangaza kushikilia maski laki mbili za kupumulia N95, maski za kufanyia upasuaji laki moja na thelathini, na glovu za kukinga mikon laki sita.

Kufuatia hatua hizo za marekani, waziri wa ulinzi wa ndani wa Ujerumani amelalamikia kitendo cha marekani kupora maski zilizokuwa zinasafirishwa kuelekea Ujerumani zilizoagizwa kwa ajili ya jeshi la polisi. Waziri huyo amekifananisha kitendo hicho na uharamia.

Amesema "hii siyo njia sahihi ya kushughulikia majanga kwa nchi washirika (wa magharibi). Hatupashwi kutumia njia za mwituni kupambana na janga la dunia".

Chanzo BBC.

Kama wazungu wameanza kupambana wao kwa wao sisi huku tutarajie nini? Labda tumwombe Mungu atulinde. Hawa wazungu wapo desperate na wanapambana na hali zao. Mpaka wananyang'anyana Maski na Respirators .

Kazi ipo.
Hapo kila mtu lazima apambane kivyaka anusuru raia wake ushirikiano badaye.......Mungu asaidie sisi hilo janga lisitufikie kihivyo kwasababu sioni msaada wowote zaidi ya Mungu tu .......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani wamehamia kwenye uharamia kuzuia bidhaa za tiba zisipelekwe hata Ulaya. Wakiiona meli imebeba vifaa wanaitaifisha na kuielekeza marekani.

Trump sijui anaitafutia nini nchi yake.
 
Mkuu samahani hilo linahusiano gani na hili janga la covid 19? naomba ufafanuzi tafadhari

Ila hizi mbinu za marekani ni za kibabe mno na zinaweza kusababisha vita.
Fikiria umeagiza mzigo wako, mzigo upo kwenye meli baharini, ghafla marekani wanauteka na kuutaifisha. Wewe utajisikiaje?
 
Hizo zinaitwa nchi washirika,ubinafsi ni tatizo kubwa miongoni mwa nchi hizo.
Pengine uhai wa RAIA wa nchi washirika wengine ni muhimu kuliko wengine.
Ujerumani anaposema tatizo hili ni kubwa kuliko ukiachilia mbali vita kuu pili ya Dunia kuikumba nchi hiyo,inapotokea nchi nyingine ikapora vifaa viokozi unafikiria kitatokea nini?
 
Kama hajavunja sheria ni sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anatumia sheria ya marekani inayosema kila kinachozalishwa na kampuni ya marekani kinaweza kuchukuliwa popote duniani kwa matumizi ya ndani ya marekani.
Kisheria yupo sahihi kwa sababu anatumia sheria za nchi yake na kampuni zinazomilikiwa na marekani.
 
Rais wa Marekani Donald Trump ameagiza makampuni ya marekani kusitisha uuzaji na kutaifisha vifaa vyote vinavyotumika kupambana na ugonjwa wa virusi vya korona hata vile ambavyo vilishauzwa.

Bw. Trump alisema anatumia sheria ya Uzalishaji kwa ajili ya ulinzi (Defence Production Act) kuyataka makampuni ya marekani kuzalisha vifaa vya tiba kwa ajili ya soko la ndani la marekani. Alisema "tunahitaji vifaa hivi kwa matumizi ya dharura ya ndani na tunapaswa kuvipata".

Kufuatia agizo hilo, marekani wametangaza kufanikiwa kutaifisha maelfu ya mashine za kupumulia zilizokuwa zinaelekea nchi za ulaya na kwingineko. Mamlaka za marekani zimetangaza kushikilia maski laki mbili za kupumulia N95, maski za kufanyia upasuaji laki moja na thelathini, na glovu za kukinga mikon laki sita.

Kufuatia hatua hizo za marekani, waziri wa ulinzi wa ndani wa Ujerumani amelalamikia kitendo cha marekani kupora maski zilizokuwa zinasafirishwa kuelekea Ujerumani zilizoagizwa kwa ajili ya jeshi la polisi. Waziri huyo amekifananisha kitendo hicho na uharamia.

Amesema "hii siyo njia sahihi ya kushughulikia majanga kwa nchi washirika (wa magharibi). Hatupashwi kutumia njia za mwituni kupambana na janga la dunia".

Chanzo BBC.

Kama wazungu wameanza kupambana wao kwa wao sisi huku tutarajie nini? Labda tumwombe Mungu atulinde. Hawa wazungu wapo desperate na wanapambana na hali zao. Mpaka wananyang'anyana Maski na Respirators .

Kazi ipo.
Hii post ungeandika katika lugha yake ingependeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hizi mbinu za marekani ni za kibabe mno na zinaweza kusababisha vita.
Fikiria umeagiza mzigo wako, mzigo upo kwenye meli baharini, ghafla marekani wanauteka na kuutaifisha. Wewe utajisikiaje?
Aya mambo ukiweka hisia zako uwezi kuya helewa ..yanaenda kisheria zaidi..nazani ume wekewa na sheria gani aliyo itumia trump kufanya ivyo

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Mkuu samahani hilo linahusiano gani na hili janga la covid 19? naomba ufafanuzi tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
Editor's note: This story was updated Sept. 3, 2019 to say that some scientists dispute the figure that the Amazon provides 20% of the world's oxygen but agree it is crucial for climate regulation.

Aug. 28, 2019 -- The Amazon rainforest fires that have been blazing out of control in Brazil for weeks could have far-reaching effects on our health, experts warn.
 
Yeye anatumia sheria ya marekani inayosema kila kinachozalishwa na kampuni ya marekani kinaweza kuchukuliwa popote duniani kwa matumizi ya ndani ya marekani.
Kisheria yupo sahihi kwa sababu anatumia sheria za nchi yake na kampuni zinazomilikiwa na marekani.

Sasa kama havunji sheria tatizo lako liko wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turampet hajawahi kujaaliwa akili yule kunguru ila inapo elekea huku hawa mashost wa ulaya na Shost Wao Amerka Watanuniana

tuupe muda nafasi yake ufanye kazi

Sent using My COVID-19
 
Sasa kama havunji sheria tatizo lako liko wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Humanitarian crisis atakayoijenga itasababisha uhasama na chuki. Haya mambo ya sheria za ndani za marekani kutumika kimataifa ndicho chanzo cha migogoro isiyoisha. Mfano sheria za vikwazo zinatungwa marekani ila nchi nyingine mnalazimishwa kutii.

Hapo tatizo ni kubwa sana.
 
Ila hizi mbinu za marekani ni za kibabe mno na zinaweza kusababisha vita.
Fikiria umeagiza mzigo wako, mzigo upo kwenye meli baharini, ghafla marekani wanauteka na kuutaifisha. Wewe utajisikiaje?
Yeye anataifisha vinavyozalishwa na makampuni ya Marekani yanayofuata sheria za Marekani. Akikamata vinavyotoka China mna haki ya kupiga kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom