Trump aagiza utaifishaji wa vifaa vya kupambana na Korona

Trump aagiza utaifishaji wa vifaa vya kupambana na Korona

Washenzi sana hawa.
Maharamia wameshindwa kujizuwia mkuu!
Walifurahia Sana kipindi china anapitia wakati mgum kwenye huu ugonjwa!
Wakasema ni frusa kwa makampuni Yao kutengeneza ajira!!
Mungu atuokowe tuone huu mchezo maana ni mtam!
Kama idadi ya wagonjwa kwetu inaongezeka taratibu hivyo basi tuna dalili za kutoboa!
 
Ila hizi mbinu za marekani ni za kibabe mno na zinaweza kusababisha vita.
Fikiria umeagiza mzigo wako, mzigo upo kwenye meli baharini, ghafla marekani wanauteka na kuutaifisha. Wewe utajisikiaje?
Acha hilo majuzi alicheza rafu mbaya kuna mzigo wa masks na ventilators kutoka china kuenda Spain na France, kaongeza dau mara tatu×3 wa china badala ya pelekea wale wa awali akaoupeleka US, masikini Spain wakabakia kulalamika UN tu.........US hana 'permanent friend or enemy but permanent interest'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye anatumia sheria ya marekani inayosema kila kinachozalishwa na kampuni ya marekani kinaweza kuchukuliwa popote duniani kwa matumizi ya ndani ya marekani.
Kisheria yupo sahihi kwa sababu anatumia sheria za nchi yake na kampuni zinazomilikiwa na marekani.

Agree !!!! Anachokifanya ni sahihi kwa mujibu wa sheria. Corona ni hatari na sio ishu ya mchezo mchezo.Ukiangalia jinsi idadi ya vifo inavyoongezeka USA na ukubwa wa tatizo kwa sasa, mkuu wa inchi yeyote anayejitambua na kujiamini lazima angechukua uamuzi kama wa Trump.
 
Marekani wamehamia kwenye uharamia kuzuia bidhaa za tiba zisipelekwe hata Ulaya. Wakiiona meli imebeba vifaa wanaitaifisha na kuielekeza marekani.

Trump sijui anaitafutia nini nchi yake.
Wenyewe wanauhaba wa vifaa mpaka wanasaidiwa halafu waendelee ku export?
 
Mkubwa mchina ata tuuzia hana mambo ya uporaji aka Uharamia!

Huku wakidanganya watu akuna haja ya kuvaa mask Adi uuguwe!
Huku wao wakizipora kwa nguvu zote!
Hili suala hili.... Majuzi kati niliona taarifa kutoka vyombo vya magharibi inayosema kuvaa mask wa-Asia walikuwa sahihi.
 
Hili suala hili.... Majuzi kati niliona taarifa kutoka vyombo vya magharibi inayosema kuvaa mask wa-Asia walikuwa sahihi.
Huku wizara ikituambia Adi tuuguwe!!
Wakati mgonjwa was siku 10 bado ni mzima na Ana ambukiza!
Nadhani walipata muongozo kutoka WHO
maana zikinunuliwa Sana huko kwao zitapanda bei au watazikosa!!
Leo wamepokea msaada kutoka china!

 
Huku wizara ikituambia Adi tuuguwe!!
Wakati mgonjwa was siku 10 bado ni mzima na Ana ambukiza!
Nadhani walipata muongozo kutoka WHO
maana zikinunuliwa Sana huko kwao zitapanda bei au watazikosa!!
Leo wamepokea msaada kutoka china

China tena!
Screenshot_20200405-173956~2.png
 

Attachments

  • Screenshot_20200405-173956~2.png
    Screenshot_20200405-173956~2.png
    92.5 KB · Views: 1
Humanitarian crisis atakayoijenga itasababisha uhasama na chuki. Haya mambo ya sheria za ndani za marekani kutumika kimataifa ndicho chanzo cha migogoro isiyoisha. Mfano sheria za vikwazo zinatungwa marekani ila nchi nyingine mnalazimishwa kutii.

Hapo tatizo ni kubwa sana.
facts

Sent using My COVID-19
 
Tanzania si tuna vile viwanda 400 kila mkoa?
Hakuna kinachotengeneza hata masiki? Tuwauzie Ujerumani
 
Oxygen ni bidhaa muhimu kwa binadamu.
Dunia itizame upya ni wapi tumekosea ili kujisahihisha.
Kwa kuanzia ni vema Dunia ikajiridhisha na hewa chafu inayozalishwa viwandani na technologia zinazo athili upatikanaji wa hewa ya Oxygen ulimwenguni.
Inawezekana mojawapo ya upungufu wa hewa hiyo ni kuungua kwa misitu duniani,ukame na hewa za sumu zitokazo viwandani.
Sisi kama Taifa mojawapo ya Mataifa ya Ulimwengu ni wajibu wa kuchua hatua ikiwemo kampeni ya upandaji miti na utunzaji wa mazingira kwa vizazi vijavyo.
Umeamka usingizini. Off topic.
 
Back
Top Bottom