Trump aagiza utaifishaji wa vifaa vya kupambana na Korona

Washenzi sana hawa.
Maharamia wameshindwa kujizuwia mkuu!
Walifurahia Sana kipindi china anapitia wakati mgum kwenye huu ugonjwa!
Wakasema ni frusa kwa makampuni Yao kutengeneza ajira!!
Mungu atuokowe tuone huu mchezo maana ni mtam!
Kama idadi ya wagonjwa kwetu inaongezeka taratibu hivyo basi tuna dalili za kutoboa!
 
Ila hizi mbinu za marekani ni za kibabe mno na zinaweza kusababisha vita.
Fikiria umeagiza mzigo wako, mzigo upo kwenye meli baharini, ghafla marekani wanauteka na kuutaifisha. Wewe utajisikiaje?
Acha hilo majuzi alicheza rafu mbaya kuna mzigo wa masks na ventilators kutoka china kuenda Spain na France, kaongeza dau mara tatu×3 wa china badala ya pelekea wale wa awali akaoupeleka US, masikini Spain wakabakia kulalamika UN tu.........US hana 'permanent friend or enemy but permanent interest'

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Agree !!!! Anachokifanya ni sahihi kwa mujibu wa sheria. Corona ni hatari na sio ishu ya mchezo mchezo.Ukiangalia jinsi idadi ya vifo inavyoongezeka USA na ukubwa wa tatizo kwa sasa, mkuu wa inchi yeyote anayejitambua na kujiamini lazima angechukua uamuzi kama wa Trump.
 
Marekani wamehamia kwenye uharamia kuzuia bidhaa za tiba zisipelekwe hata Ulaya. Wakiiona meli imebeba vifaa wanaitaifisha na kuielekeza marekani.

Trump sijui anaitafutia nini nchi yake.
Wenyewe wanauhaba wa vifaa mpaka wanasaidiwa halafu waendelee ku export?
 
Mkubwa mchina ata tuuzia hana mambo ya uporaji aka Uharamia!

Huku wakidanganya watu akuna haja ya kuvaa mask Adi uuguwe!
Huku wao wakizipora kwa nguvu zote!
Hili suala hili.... Majuzi kati niliona taarifa kutoka vyombo vya magharibi inayosema kuvaa mask wa-Asia walikuwa sahihi.
 
Hili suala hili.... Majuzi kati niliona taarifa kutoka vyombo vya magharibi inayosema kuvaa mask wa-Asia walikuwa sahihi.
Huku wizara ikituambia Adi tuuguwe!!
Wakati mgonjwa was siku 10 bado ni mzima na Ana ambukiza!
Nadhani walipata muongozo kutoka WHO
maana zikinunuliwa Sana huko kwao zitapanda bei au watazikosa!!
Leo wamepokea msaada kutoka china!

 
Huku wizara ikituambia Adi tuuguwe!!
Wakati mgonjwa was siku 10 bado ni mzima na Ana ambukiza!
Nadhani walipata muongozo kutoka WHO
maana zikinunuliwa Sana huko kwao zitapanda bei au watazikosa!!
Leo wamepokea msaada kutoka china
China tena!
 

Attachments

  • Screenshot_20200405-173956~2.png
    92.5 KB · Views: 1
facts

Sent using My COVID-19
 
Tanzania si tuna vile viwanda 400 kila mkoa?
Hakuna kinachotengeneza hata masiki? Tuwauzie Ujerumani
 
Umeamka usingizini. Off topic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…