The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Ulifanya vizuri sana kujiita Kijakazi,walioweza walishaondoka waliobakia hawana uwezo wa kukimbia thats why US na D.Trump wamemwambia tinubu ana jukumu la kulinda Christians dhidi ya muslims jihadist kama asipofanya hivyo aidha kwa kushindwa au kwa sababu yoyote nyingineyo US itachukuwa jukumu la kulinda Christians ...
Kijakazi maana yake ni mtumwa,
Na wewe unaonekana ni mtumwa wa propaganda za Westerners,itakuchukua muda mrefu sana kutoka kwenye huo usingizi,usije ukajidanganya kua westerners wanakudhamini,westerners huangalia maslahi yao tu,wala hawana issue za kuangalia Dini,wake up.