The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Ulifanya vizuri sana kujiita Kijakazi,walioweza walishaondoka waliobakia hawana uwezo wa kukimbia thats why US na D.Trump wamemwambia tinubu ana jukumu la kulinda Christians dhidi ya muslims jihadist kama asipofanya hivyo aidha kwa kushindwa au kwa sababu yoyote nyingineyo US itachukuwa jukumu la kulinda Christians ...
Ni jambo jema, ila Waafrika wanatakiwa kujua matatizo yao wanatakiwa kuyatatua wenyewe. Akishakuja Mmarekani usifikirie resources atakazotumia atazitoa bure. Kuna fursa wameshaichungulia hiyo ni entry point tu wameipata.walioweza walishaondoka waliobakia hawana uwezo wa kukimbia thats why US na D.Trump wamemwambia tinubu ana jukumu la kulinda Christians dhidi ya muslims jihadist kama asipofanya hivyo aidha kwa kushindwa au kwa sababu yoyote nyingineyo US itachukuwa jukumu la kulinda Christians ...
Ulifanya vizuri sana kujiita Kijakazi,
Kijakazi maana yake ni mtumwa,
Na wewe unaonekana ni mtumwa wa propaganda za Westerners,itakuchukua muda mrefu sana kutoka kwenye huo usingizi,usije ukajidanganya kua westerners wanakudhamini,westerners huangalia maslahi yao tu,wala hawana issue za kuangalia Dini,wake up.
Ni jambo jema, ila Waafrika wanatakiwa kujua matatizo yao wanatakiwa kuyatatua wenyewe. Akishakuja Mmarekani usikirie resources atakazotumia atazitoa bure. Kuna fursa wameshaichungulia hiyo ni entry point tu wameipata.
Hoja yangu Wanaijeria wanatakiwa kujisaidia wenyewe. Kama wao wenyewe hawako tayari kutatua tatizo lao la msingi. Hakuna wa kuwasaidia, hao Wamarekani wataenda kwa interest zao tu pale.afrika is too poor kujisaidia kila mahali, hivyo ni jukumu la Christians kusaidia Christians pia, na halina mipaka ...
Hoja yangu Wanaijeria wanatakiwa kujisaidia wenyewe. Kama wao wenyewe hawako tayari kutatua tatizo lao la msingi. Hakuna wa kuwasaidia, hao Wamarekani wataenda kwa interest zao tu pale.
Wapi Marekani iliingia ikapaacha salama zaidi ya kufanya uharibifu na kuondoka.ni complicated, ndiyo maana kuna jumuiya ya kimataifa, kama serikali husika ikishindwa kwa sababu yoyote ile kulinda raia wake dhidi ya mauaji basi jumuiya ya kimataifa ina jukumu la kuingilia kutumia nguvu kulinda watu ...
Ndio maana toka mwanzo nilikwambia kua unasumbuliwa na ulokole na udini,maneno matupu tu na ya mkosaji hayo, nitajie kitu chochote unachotumia ambacho siyo western origin, ndiyo ninyi communist mnaponda western Christian huku maisha yenu yote na familia zenu mnaishi western bila hata ya kujua wakati mwingine, isitoshe kwa nini hauandiki kiarabu unatumia herufi za kilatini? ...
Ndio maana nikamwambia kua,westeners hua wanaangalia maslahi ya nchi zao zaidi,wala hua hawaangalii Dini.Ni jambo jema, ila Waafrika wanatakiwa kujua matatizo yao wanatakiwa kuyatatua wenyewe. Akishakuja Mmarekani usikirie resources atakazotumia atazitoa bure. Kuna fursa wameshaichungulia hiyo ni entry point tu wameipata.
Sana, sehemu yoyote ikishakuwa na machafuko makolokolo yote ya kuwafanya muendelee kuuana yatatupiwa huko.Serikali za Africa Magharibi ziunganishe nguvu ili kupambana magaidi nimeona huko Sahel jangwani hali ni mbaya sana.
Ninahofia pia hivi vita vya Sudani ya Kaskazini vitatumiwa na magaidi kama ilivyo Somalia.
Wapi Marekani iliingia ikapaacha salama zaidi ya kufanya uharibifu na kuondoka.
Hakika lo. Wana mambo mambo yao sio kabisa