Trump aahidi kuwatimua waandamanaji, kuwarudisha kwao

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwenye hili namuunga mikono, tupa nje warudi kwao Uarabuni....

“One thing I do is, any student that protests, I throw them out of the country. You know, there are a lot of foreign students. As soon as they hear that, they’re going to behave,” Trump said on May 14, according to donors at the event.

When one of the donors complained that many of the students and professors protesting on campuses could one day hold positions of power in the United States, Trump called the demonstrators part of a “radical revolution” that he vowed to defeat.

He praised the New York Police Department for clearing the campus at Columbia University and said other cities needed to follow suit, saying “It has to be stopped now.”

Na Kuna wakenya waliandamana warudishwe haraka kamkunji
 
Ukiwa ugenini huna haki, ishi kikondoo kondoo tu muda upite
Wote wanaoandamana ni wenyeji.Kama ni kama mimi wasingethubutu.
Sasa kutaka kusema ni wageni ni kufumbia macho ukweli.Hilo limechelewa na haliwezekani.
Kama walivyomkubali mjaluo kuwa raisi wao basi na wengine wawakubali tu hata kama wametoka Gaza.
 
Hawa waandamanaji wanashindwa kuuandamana kwenye nchi zao zinazotawaliwa kidikteta wanaenda kuuandamana ugenini
 
Na Kuna wakenya waliandamana warudishwe haraka kamkunji

Tena wasiruhusiwe kurudi Marekani au hata kwenda popote Ulaya, tatizo la dini yenu huwa hamna uzalendo, hamuna Ukenya au Utanzania, mnakua kama mazombi vile.
 
Wote wanaoandamana ni wenyeji.Kama ni kama mimi wasingethubutu.
Sasa kutaka kusema ni wageni ni kufumbia macho ukweli.Hilo limechelewa na haliwezekani.
Kama walivyomkubali mjaluo kuwa raisi wao basi na wengine wawakubali tu hata kama wametoka Gaza.

Aaah wapi ni mapumbavu tu, mwenyeji gani huyu uislamu umempofusha hadi anatangaza "death to America"

View: https://www.youtube.com/watch?v=9PXQZUtBafI
 
Trump ni wazimu na mnaomsupport pia

Unapokuwa nchi yoyote ile ni lazima uishi sheria za hiyo nchi
Jambo ambalo ni halali nchini kwako linaweza lisiwe halali katika nchi uliyopo
Kwa hiyo ukilifanya utakuwa umevunja sheria na utashtakiwa
Je hao wahamiaji wamevunja sheria za Marekani kwa hicho wanachofanya?
Kama hawajavunja sheria Trump ashtakiwe kwa ubaguzi
Alafu Marekani haina mwenyewe kutia ndani huyo Trump kama hakuhamia yeye walihamia mababu za akae kimya au ajibu hoja za waandamanaji

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wacha kuwa wazimu, wapi Marekani inaruhusiwa mtu kubwatuka "death to America", hiyo dini inawaharibu hata reasoning yenu

View: https://youtu.be/9PXQZUtBafI
 
Wote wanaoandamana ni wenyeji.Kama ni kama mimi wasingethubutu.
Sasa kutaka kusema ni wageni ni kufumbia macho ukweli.Hilo limechelewa na haliwezekani.
Kama walivyomkubali mjaluo kuwa raisi wao basi na wengine wawakubali tu hata kama wametoka Gaza.
Kama wenye nchi wanafia vitani, je wewe muhamiaji utasikilizwa kweli?
 
Kosa kubwa sana lililofanywa na hizi demokrasia za magharibi ni kuruhusu uhuru uliopitiliza mpaka sawa na kuruhusu wageni wengi kuingia kwenye mataifa yao.

Sasa kama mataifa yanayojiita ni ya kidini ndio yanaongoza kuchinja watu kwa kisingizio cha dini ambayo haipo iweje sasa raia hao waliokimbia jambia wajisikie huru ugenini hata kuliko wenyeji wao..?

Na sio siri tena kwamba ktk nchi hizo walizokimbia kuna vyuo kabisa vinavyofundisha namna ya kuua watu kwa jina la mungu wao na ktk mataifa yao hayo ni mwiko kabisa kuandamana kuipinga serikali ila ni haki kuandamana kuiunga mkono serikali hata pale inapomaliza kukata watu vichwa. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom