Trump aanza kudhibiti mamlaka ya Elon Musk

ilikuwa hivyo siku zote wewe ndo miss informed, musk anapendekeza usepe.

Na kila akisepa usepe unasepa,
 
Tulisema Hapa hao hawana muda watamwagana tu Elon Musk amekuwa front sana utadhani yeye ndio POTUS, The presidency is a jealous institution,
Never outsmart your master
 
Musk ana cheo Gani hapo white house?
Elon Musk ana cheo cha mshauri maalum wa serikali chini ya utawala wa Rais Donald Trump amepewa jukumu la kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ambayo inahusika na kupunguza matumizi ya serikali.
 
Nilisema na narudia kusema kuwa, urafiki wao hautadumu mpaka mwisho wa muhura wa Trump.
Elon Musk ni mjanja mjanja opportunist tu na pale anapoona hakuna maslahi binafsi basi ananuna na kuanzisha vita.
 
Nilisema na narudia kusema kuwa, urafiki wao hautadumu mpaka mwisho wa muhura wa Trump.
Elon Musk ni mjanja mjanja opportunist tu na pale anapoona hakuna maslahi binafsi basi ananuna na kuanzisha vita.
Ngoja tuone muda utaongea.
 
Inch ya Marekani inaongozwa kwa logic ya k-private sector.

Ukileta bong hiyo logic
Tunaweza hoji tija ya kwa nini kwenye wilaya kuwe na DED halafu kuna DC na DAS. Halafu kwa nini tuwe na Katibu tarafa wakati kuna Mtendaji wa kata.

Ningedhani kungekuwepo RC,RAS,DED,WEO ,VEO ,madiwani na wenyeti wa serikali ya mtaa au kijiji
 
Watu mnafurahisha sana mko so-overwhelmed with the American affairs kiasi kwamba mnasahau hata kwamba mko kwenye nchi nyingine ambayo iko hoi katika kila sekta na wala hakuna anayejali..πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Sisi waturejeshee tu dawa za kuongeza maisha za UKIMWI laa sivyo tunaenda kuadhirika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…