Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
ndio maana china kaanzisha hiki kirus ili kumdhoofisha Marekani
Bila ushahidi juu yakile kirusi huu utakua Uongo kama Miuongo Mengineyo MKUU.Kusema ukweli Trump ndio Rais ambaye ameweza kusimamisha mbinu zote za China kutaka kuipiku Marekani, China na kelele zote kuwa uchumi wake ungeenda kuipita Marekani lakini kwa akili finyu wakitegemea kuuza bidhaa zao Marekani, ndio maana china kaanzisha hiki kirus ili kumdhoofisha Marekani lakini ni kama kachochea moto maana nchi nyingi duniani zimechukia sana marekani alivyopata janga kwa ukubwa maana ndio soko lao.
China alikuwa anauza more than 600 billion per year na Marekani aliuza just 130bln per year katika balance of trade means China side alikuwa anapata faida ya (600-130)= +470 while America ilikuwa inapata loss of -470 every year. Sasa Trump kawaonya China kuwa anataka 0 Import from China na wanalilia tu na kujifanya ni wababe lakini hamna nyota wataacha kuona.
Kuna mpango wa chini chini ambao unaendeshwa na Marekani wa kushawishi nchi zote zenye makampuni china kuyaondoa, sasa hiyo sijui itakuweje maana hiyo itakuwa pigo takatifu. Na nchi nyingi mfano Japan imeshaanza ketenga budget ya kuondoa makampuni yake china, na nyingine nyingi tu.
Kuna mengi ya kumsifu Trump na tunampa pongezi nyingi sana aendelee kukaza uzi