Trump aanza kuirudisha Marekani mahala pake, mwezi May aongeza ajira mpya 2.5M

ndio maana china kaanzisha hiki kirus ili kumdhoofisha Marekani Bila ushahidi juu yakile kirusi huu utakua Uongo kama Miuongo Mengineyo MKUU.
 
Jamaa walitaka sana aweke lockdown uchumi uanguke waitumie kama silaha yao November.
Halafu mimi nashangaa sana huku kwetu eti mtu analazimisha wapinzani wake wamuunge mkono kwa nguvu la sivyo mtafungwa jela.

Hizi nchi zetu ni shida sana. Ona huko kwa hao ambao ndio wameendelea lkn mpinzani wako anataka uboronge ndio apate mtaji lkn huku wapinzani wanashurutishwa waunge mkono juhudi tena kwa nguvu.

Sisi maendeleo tutayatizama kwenye ma-tv tu.
 
Read a book!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…