Trump adaiwa kuwasiliana na Putin angalau mara 7 baada ya kutoka ikulu ya White House mwaka 2021

Trump adaiwa kuwasiliana na Putin angalau mara 7 baada ya kutoka ikulu ya White House mwaka 2021

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Maajabu (kama walivyokuwa wajinga) hayatakaa yaishe.

Ya kwamba mara ya mwisho Ilikuwa angalau mwaka huu.

Ya kuwa madai haya si kutokea Kwa vyanzo reja reja:

La kutia moyo ni kuwa vita vyote duniani vitasimama siku tu akishachaguliwa, tena akiwa hata hajaapishwa.

==============


vladimir-putin-donald-trump-phone.jpg

Former President Donald Trump has spoken with Russian President Vladimir Putin as many as seven times since he left the White House, including as recently as this year, according to new reporting by journalist Bob Woodward.

Woodward makes the claims in his forthcoming book, “War,” a dramatic account of the White House under Trump and President Joe Biden that details elements of their relationships with foreign leaders. The book is set to be published Oct. 15.

The book details how Trump’s relationship with Putin has continued as he mounts another bid for the White House amid the ongoing war in Ukraine.

In one scene, Woodward recounts that Trump directed a senior aide to leave his private office at Mar-a-Lago this year “so he could have what he said was a private phone call” with the Russian leader. The aide, who loitered in a hallway outside while the two spoke, told Woodward that Trump and Putin have had “maybe as many as seven” phone calls since Trump left office in 2021.

The account is credited to a single anonymous aide and provides no further details. Trump’s campaign did not respond when asked to comment directly on whether Trump has had any conversations with Putin since he left office. Trump’s communications director, Steven Cheung, in an emailed statement attacked Woodward personally and claimed the book is comprised of “made-up stories.”

Asked about Woodward's claims, Trump's running mate, Sen. JD Vance of Ohio, said Tuesday, “I honestly didn’t know that Bob Woodward was still alive until you asked me that question." He went on to knock Woodward as a “hack” and said that even if the reporting is true, "Look, is there something wrong with speaking to world leaders? No. Is there anything wrong with engaging in diplomacy?”

Woodward also includes an account of Trump’s time in the White House when, at the height of the pandemic, he sent Putin testing equipment for the virus.

The book raises new questions about Trump’s claim that he would end the war in Ukraine if elected, possibly before he even took office. He said last month that his relationship with Putin is “very good,” and he said the same of his ties to Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy when the two met at Trump Tower last month. As a private citizen, Trump would need the sitting president's express permission to negotiate on behalf of the U.S. government, and Woodward says he probed the issue with an aide to Trump.

According to Woodward, senior adviser Jason Miller told him in July that he was “not aware” of any conversations between Trump and Putin, but should they wish to speak, “they’d know how to get in touch with each other.”

“[J]ust be very careful that we’re not saying they’re in communication or anything beforehand,” Woodward said Miller told him. “For the purpose of ending a war?” Woodward asked. “But that’s not going to happen, ultimately, not going to happen until President Trump wins on November 5th and it’s clear that he’s coming in,” Miller said, according to the author. “After November 5th, I think President Trump will be able to have it solved or largely solved by the time he gets sworn in.”

The revelations come just weeks before Election Day as Trump mounts a bid for the White House against Vice President Kamala Harris, an election that could determine the future of U.S. support for Ukraine. NBC News obtained a copy of the book.

The book also raises further questions about how Trump would handle the war in Ukraine if he is re-elected and whether he would continue to provide aid to Ukraine, as Harris has said she would. Before his meeting with Zelenskyy last month, Trump told reporters that he would help broker a deal “that’s good for both sides.” Vance has been sharply critical of U.S. funding for Ukraine and of Zelenskyy himself.Critics have long taken issue with Trump's coziness with authoritarian leaders, including Putin. Trump has referred to Putin as "very savvy" and a "strong man," and he praised Russia's invasion of Ukraine as "genius."

In an interview Tuesday on "The Howard Stern Show," Harris reacted to Woodward's reporting on the Covid tests by accusing Trump of "secretly helping out an adversary while Americans are dying by the hundreds every day."
In an interview Tuesday with Ben Shapiro, Trump said it was "a good thing, not a bad thing," that he got along with Putin "very well."

"A lot of people think that’s a bad thing," Trump said. "No, no, that’s a great thing.

CBS
 
Marekani inaogopwa sana mpaka mnajipa moyo kwa kujipendekeza kwa trump aiseee
 
Mashoga wanampinga trump kwa namna yoyote. Ikitokea anawashinda watafanyaje?

Si kila mtu anayempinga Trump ni shoga.

Pia si kweli kuwa kila anayemwunga mkono si shoga.

Bila shaka uchaguzi huu hauko centered kwenye ushoga.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Madhali ana mipango na dunia isiyo na vita vya kipumbavu, in one way or another, ninadhani: "dunia inahitaji mabadiliko."
Ukraine hawapigani 'vita vya kipumbavu,' Bali wanapigana vita vya haki ya kujilinda dhidi ya udhalimu wa Putin. Endapo kama Putin asingeanzisha uvamizi, naamini Ukraine wasingeweza kujibu mapigo ya kuanzisha vita inayoendelea hivi Sasa.
Aidha, endapo kama Hamas wasingevamia Israel na kuteka na kuua Watu kule eneo la Kibutz Belly mwezi Oktoba 2023, basi majeshi ya Israel yasingeweza kujibu mapigo kwa kuanzisha hii vita inayoendelea hivi Sasa huko Mashariki ya Kati.
 
Ukraine hawapigani 'vita vya kipumbavu,' Bali wanapigana vita vya haki ya kujilinda dhidi ya udhalimu wa Putin. Endapo kama Putin asingeanzisha uvamizi, naamini Ukraine wasingeweza kujibu mapigo ya kuanzisha vita inayoendelea hivi Sasa.
Aidha, endapo kama Hamas wasingevamia Israel na kuteka na kuua Watu kule eneo la Kibutz Belly mwezi Oktoba 2023, basi majeshi ya Israel yasingeweza kujibu mapigo kwa kuanzisha hii vita inayoendelea hivi Sasa huko Mashariki ya Kati.

Havipo vita visivyokuwa vya kipumbavu.

Ikifikia kwenye kutumia silaha kuuwa watu ndipo ulipo upumbavu wenyewe.

Katika vita kuna angalau mpumbavu mmoja.

1. Ukraine na Russia - Mpumbavu ni Russia Kwa kuivamia ardhi ya wa Ukraine pasipokuwa na uhalali wowote. Ukraine anajipigania kukataa kukaliwa.

2. Palestina na Israel - Israel ni mpumbavu Kwa kuyavamia maeneo ya wapalestina na kuyakalia pasipo na uhalali wowote. Historia ni ndefu tokea 1947 huko. Palestina kama Ukraine wanapigana kukataa kukaliwa na Oct 7, 2023 ni mfano wake

Kwani ulidhani ni Ukraine au Palestina waliopaswa wasalimu amri tu, yaishe ndugu?
 
Havipo vita visivyokuwa vya kipumbavu.

Ikifikia kwenye kutumia silaha kuuwa watu ndipo ulipo upumbavu wenyewe.

Katika vita kuna angalau mpumbavu mmoja.

1. Ukraine na Russia - Mpumbavu ni Russia Kwa kuivamia ardhi ya wa Ukraine pasipokuwa na uhalali wowote. Ukraine anajipigania kukataa kukaliwa.

2. Palestina na Israel - Israel ni mpumbavu Kwa kuyavamia maeneo ya wapalestina na kuyakalia pasipo na uhalali wowote. Historia ni ndefu tokea 1947 huko. Palestina kama Ukraine wanapigana kukataa kukaliwa na Oct 7, 2023 ni mfano wake

Kwani ulidhani ni Ukraine au Palestina wasalimu amri tu yaishe ndugu?
Wewe katika uelewa wako, hivi Wayahudi ni Watu wa asili kutoka nchi gani au kutoka eneo gani hasa hapa duniani?
 
Wewe katika uelewa wako, hivi Wayahudi ni Watu wa asili kutoka nchi gani au kutoka eneo gani hasa hapa duniani?

Mkuu si suala la asili za kijanja janja. Hata kwetu kina wamachinga (akiwamo Mkapa) tulisikia ni wa kutokea Mozambique, wangoni wa kutokea Afrika kusini nk. Ya kuwa, wote ni wa kuja.

Marekani nako asilia ni wahindi wekundu. Australia, New Zealand nk kote huko kumejaa wakuja.

Wapi watu hawakuhamia?

Zingatia zogo lote pale mashariki ya kati, Israel siku zote hataki kusikia "a two state solution" kinyume na matakwa ya dunia.

Mbona kwingine kote hata watu wenye asili zozote wanaishi kwa amani?
 
Back
Top Bottom