Trump adaiwa kuwasiliana na Putin angalau mara 7 baada ya kutoka ikulu ya White House mwaka 2021

Trump adaiwa kuwasiliana na Putin angalau mara 7 baada ya kutoka ikulu ya White House mwaka 2021

Ukraine hawapigani 'vita vya kipumbavu,' Bali wanapigana vita vya haki ya kujilinda dhidi ya udhalimu wa Putin. Endapo kama Putin asingeanzisha uvamizi, naamini Ukraine wasingeweza kujibu mapigo ya kuanzisha vita inayoendelea hivi Sasa.
Aidha, endapo kama Hamas wasingevamia Israel na kuteka na kuua Watu kule eneo la Kibutz Belly mwezi Oktoba 2023, basi majeshi ya Israel yasingeweza kujibu mapigo kwa kuanzisha hii vita inayoendelea hivi Sasa huko Mashariki ya Kati.
Upo sawa ndani ya kichwa chako tu. Naomba fuatilia hii migogoro yote kabla ya vita kuanza ndio utanielewa. Ni visa mirefu sana, itapendeza ukafanye tafiti then uje na a new caption, usisahau kunitag tu.
 
Aisee huyo mzee keshakuwa pupet wa Russia.
 
Back
Top Bottom