Ukraine hawapigani 'vita vya kipumbavu,' Bali wanapigana vita vya haki ya kujilinda dhidi ya udhalimu wa Putin. Endapo kama Putin asingeanzisha uvamizi, naamini Ukraine wasingeweza kujibu mapigo ya kuanzisha vita inayoendelea hivi Sasa.
Aidha, endapo kama Hamas wasingevamia Israel na kuteka na kuua Watu kule eneo la Kibutz Belly mwezi Oktoba 2023, basi majeshi ya Israel yasingeweza kujibu mapigo kwa kuanzisha hii vita inayoendelea hivi Sasa huko Mashariki ya Kati.