Trump aihurumia canada kwa kutaka kulitambua taifa la Palestine

Trump aihurumia canada kwa kutaka kulitambua taifa la Palestine

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Trump ansema itakua vigumu kufanya makubaliano ya kibiashara na na canada baada ya waziri Mkuu wa canada kusema Mark Carney anapanga kulitambua taifa la Palestin ifikapo September
 

Attachments

  • trump-suggests-that-canadas-recognition-of-palestine-as-a-v0-sU8iqmE4kil2sp6M271ZEescCaj0p1jik...png
    trump-suggests-that-canadas-recognition-of-palestine-as-a-v0-sU8iqmE4kil2sp6M271ZEescCaj0p1jik...png
    213.7 KB · Views: 34
Mbona Urusi alisema anataka kuitambua, Netanyau kapiga simu harahaka, ila wengine ni Vitisho.
 
Ufaransa tayari. Msimamo wa Canada ni wa England na Australia.
 
Back
Top Bottom