Trump aitaka Benki ya Dunia kuacha kuipa mkopo China, adai ina hela nyingi na kama haina inazitengeneza

Duuh saivi umeshakuwa "sisi china" wabongo bana,,kipindi marekan ana vita na urusi mlikuwa "sisi marekani"
Lini Tutakuwa na sisi "sisi Tanzania?"
 
Mchina mjanja sana... Anafanya business ndani ya business...

Anazichukua World Bank alafu anakopesha wengine kwa masharti nafuu...

World Bank inaendesha dunia kisiasa yeye anaiendesha dunia ki-faida...



Cc: mahondaw
 
Trump mchokozi sana Huyu mzee, yani inabidi uwe na jicho la tatu ili uelewe kamaanisha nini, China saizi hali ya uchumi imepungua sana baada ya trump kuwapandishia tarrifs wachina na kucheza nao kama paka wake kwenye kutumia software za google, anawacheka wameanza kuwa na hali mbaya kwa sasa na sio kama zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…