Trump aizuia Israel isimuue Ayatollah

Akimuua Ayatollah inageuka kuwa religious war.
Mashia Kila kona wataibuka.
Yani kheri umuue rais kuliko kiongozi wa dini wa kishia.
Weeh weeh utakoma.
Iko hivi hata wewe sio mshia.

Washia ni 15% ya Waislamu wote duniani na wengi wao wako Iran, Iraq na baadhi Lebanon na Yemen... Iran Ndio nchi pekee ya Kishia inayoweza kukusanya Jeshi nyingine zote ni either failed states au militia, Syria, Jordan, Saudi Arabia ni nchi za Kissuni haziwezi kuruhusu Washia washike silaha kama Jeshi kwenda Israel.

Muda ukifika Ayatollah atakufa kifo natural au kuuawa
 
Tuoneshe source ya habari yako ya awali hapa otherwise wewe hamnazo
 
Umetunga hadithi nzuri sana hongera. Kwa taharifa yako sehemu ya nyukilia imefikiwa na kulikua na uboreshaji wa madini ya kinyukilia ili kutengeneza mabomu 9 ya nyukilia siku za usoni ndiyo maana Israel kaamua kupiga na kaharibu huo uwezeshaji. Wamepigwa kimkakati sana.
 
Habari za hivi punde zinasema Israel ilishamuweka kwenye target Ayatollah wakawaambia Wamarekani Trump akagoma.
Jamaa ana Huruma sana, kamuhurumia Ayatollah safi sana, wamuache tu aone cha moto na aache kamdomo.
 
Mapigano ya muda mrefu Iran hawezi. Vikwazo vimempa ukilema halafu Israel katikisa mfumo wa fahamu hivyo anaona maluelue. Ndo maana hata makombora yake anayarusha tu kama mwendawazimu yakipata tageti sawa yakikosa sawa.
 
Sasa putin unamuona mtu yeye mwenyewe mara nyingi wapo kwenye mazungumzo ya amani alafu anarusha makombora kiev
 
Au wampoteze wampe yule mwehu Mahmoud Ahmadinejad aliyewahi kuwa rais, alikuwa na mikwara utadhani anaishi ubalazani mwa mbinguni.

Alikuwa akiongea na vidole utadhani mwehu.
 
Huyu Trump anazingua, angeachia lizee life na dera lake
 
Watu wengi hawajui repercussions za kuua head of state.

Wakuu wa nchi huwa hawauwawi hovyo. Consequences zake ni mbaya sana.
 
Wanajitetea Trump kawazuia kumbe wanajua kitakachofata ni hicho kinchi uchwara kitageuzwa juu chini, hamna cha Iron Dome wala nini Supersonic za Iran zinchakaza mji ndani ya sekunde
wewe!
 
Au wampoteze wampe yule mwehu Mahmoud Ahmadinejad aliyewahi kuwa rais, alikuwa na mikwara utadhani anaishi ubalazani mwa mbinguni.

Alikuwa akiongea na vidole utadhani mwehu.
huyo ndiye aliyetamka maneno ya kuifuta israel kwenye ramani ya dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…