Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Usichoelewa nini hapo? Mauzo ya mafuta yataingia Marekani wao ndio watapanga matumizi.
Hapo kawachanganya maDEMOCRATS ngoja waanze kubwabwaja!
Tuliwambia humu Trump ni chizi!!!
atakufikia tu... ngojea akiba yako iyo ya ARV iishe.Mwamba mwenyewe 😂
Aendelee kuichangamsha dunia