Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,690
- 6,730
Mazarau tu 😂😂
Baada ya kufanya u shit hole ndo hii reaction ya ujinga
ARV zangu zipo za kunitosha miaka 80 mbele, miaka ambayo hata ningekuwa situmii hizo ARV bado nisingefikisha hukoatakufikia tu... ngojea akiba yako iyo ya ARV iishe.
Ukishindwa kuongozwa utaongozwa ndo utaratibu wa duniaVenezuela ni ya wavenezuela
Nalog off Z
Sio nchi mbili dunia yote.Kwamba jamaa anaongoza nchi mbili?
Tutolee hapa upuuzi wakoUkishindwa kuongozwa utaongozwa ndo utaratibu wa dunia
Kataa kuongozwa mkuu,jitahidi ujiongozeUkishindwa kuongozwa utaongozwa ndo utaratibu wa dunia