Trump ajiita ‘Kaimu Rais wa Venezuela’ katika chapisho lake kwenye mtandao wake 'Truth Social'

Umri umeenda, anataka aache legacy, historia imkumbuke kama kina Hitler
 
Huyu mzee ana mikakati ya kuifanya Marekani kurudisha heshima yake kama superpower.

Kama ameweza kuweka papa mmarekani pale Vatican hayo mengine hashindwi.

Bado tu kuivamia kijeshi na kuisambaratisha Korea kaskazini.
 
wacheza mieleka always akili zao zimefyatuka kwa hiyo msimshangae Trump, nahisi kwa sasa anavyojisikia raha kupata mafuta hata ile risasi iliyomkosa ikaondoka na sikio akumbuki tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…