FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Japo anachofanya PK ni udhalimu mkubwa dhidi ya Waafrika wenzake, nikiri tu kwamba waNyarwanda watakuwa tayari kufa wote kabla hawajaruhusu Rais wao kung’olewa madarakani, ukweli ni huo..Tarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii
Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko?
Kama ndivyo, Je, Africa inaouwezo sasa, kuzuia wazungu wasitutawale tena?
Kama tu migogoro yetu mpaka iamliwe na wazungu, tunalipi sasa?
Nguvu ya AU iko wapi?