Trump alisema asikute huo uchafu hapo, hao mateka waachiwe kabla hajafika ofisini, na tayari HAMAS wamekubali

Trump alisema asikute huo uchafu hapo, hao mateka waachiwe kabla hajafika ofisini, na tayari HAMAS wamekubali

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Trump alipiga mkwara kwamba akiingia akute mateka wameachiwa la sivyo kutakua jehanamu, naona HAMAS, magaidi wenye mlengo wa kiislamu wamekubali amri, yule jamaa ni chizi, patanyooka sana hapo ukanda huo......

Hamas has accepted draft agreement for Gaza ceasefire and hostage release, officials tell AP​

Israel to release 50 Palestinian prisoners including 30 serving life sentences for each of the 5 female soldier hostages * Ben Gvir says he foiled deal multiple times​

Hammas nao wanawalaumu IDF, wanasema pressure kutoka kwa IDF imewafanya wawapoteze mateka mitaani, wanasema baadhi ya mateka wamepotea.

Some people😅
 
Nadhani huo ni mtazamo wako! Ungejua Netanyahau asingekubali ushauri wa watu usifikiri deal ingefanyika kiwepesi.
Kuna juhudi kubwa zimefanyika sana.
Na hata hivyo siyo mateka wote walioachiwa.
 
Si ajabu mnanunu mafuta ya alizeti yawaponye ukimwi,saratani,mikosi..mkiamini yana upako, vichwani weupe mno
 
Trump alipiga mkwara kwamba akiingia akute mateka wameachiwa la sivyo kutakua jehanamu, naona HAMAS, magaidi wenye mlengo wa kiislamu wamekubali amri, yule jamaa ni chizi, patanyooka sana hapo ukanda huo......

Hamas has accepted draft agreement for Gaza ceasefire and hostage release, officials tell AP​

Israel to release 50 Palestinian prisoners including 30 serving life sentences for each of the 5 female soldier hostages * Ben Gvir says he foiled deal multiple times​

Kwahiyo HAMAS bado wapo?
Na Sasa Trump anataka kumsaidia Netanyau wazi wazi Ili kupigana na kikundi Cha wanamgambo kikundi ambacho hata uwezo wa kumiliki kifaru hawana

Hi vita Kuna kitu kipo nyuma ya pazia ila tutajua tu
 
Back
Top Bottom