Trump alivyomdhihaki Rais wa Ufaransa kwa kuvaa miwani baada ya kuonekana na jeraha kwenye jicho "kilikupata nini hasa, Macron?

Trump alivyomdhihaki Rais wa Ufaransa kwa kuvaa miwani baada ya kuonekana na jeraha kwenye jicho "kilikupata nini hasa, Macron?

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
1769064884314.png

Wakati wa hotuba yake kwenye Mkutano wa Uchumi Duniani (WEF) 2026 huko Davos, Rais wa Marekani Donald Trump alimdhihaki Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwa kuvaa miwani ikiwa siyo kawaida yake, akiwa ndani ya ukumbi. Trump alitoa kauli ya mzaha akisema ana “miwani mizuri sana,” kisha akaongeza kwa utani, “kulitokea nini hasa?” Inaelezwa kuwa Macron alivaa miwani hiyo kwa sababu jicho lake lilionekana kuwa na damu, tatizo alilolipata awali alipokuwa Paris.

Ikumbukwe kuwa KUNA video iliwahi kusambaa mitandaoni May 2025 ikionyesha Rais Macron akipigwa na mkewe Brigitte, ambaye wengi wamekuwa wakimtuhumu kuwa si mwanamke kwamba jinsia yake ni mwananume na hata amemzidi umri Rais Macron.

Soma pia Video: Macron achapwa Kofi na mkewe mbele ya kamera. Je, huyu ndo wa kumtishia Putin?

Je, unahsi jeraha la jicho kuvimba damu ni kwamba alipitia kichapo kutoka kwa mkewe?, au anapitia domestic violence? hayaaa...........

=============

During his speech at the World Economic Forum 2026 in Davos, U.S. President Donald Trump poked fun at French President Emmanuel Macron for wearing blue aviator sunglasses indoors.

Trump commented on Macron’s “beautiful sunglasses” before joking, “what the hell happened?” Macron’s unusual eyewear was reportedly due to a burst blood vessel in his eye, which he had experienced earlier in Paris.


 
Mke mwenyewe alikuwa mwalimu wake wa shule, kwa hiyo makofi na viboko bado vinaendelea.

Huyu mama ni Bully kama waalimu wengine
Alikuwa high school akiwa na umri wa miaka 15 na jimama 39 wakaanza mahusiano shuleni.
 
Europe wataipatapata awamu hii.

Nadhani wanaombea Trump amalize muhula wake ili wapumue.

Marekani ikiwapendeza wabadili katiba Trump agombee tena na wampe kura za kishindo.
 
Nadhani kwenye uhusiano kati ya Rais wa Ufaransa na huyo anayeitwa "Mke wake" ,Kunakitu nyuma ya Pazia ambacho hatukifahamu!

Haiwezekani Jamaa anashindwa kuwa na mwanamke makamo yake,Mwanamke Mrembo na anayevutia halafu akaenda kuwa na yule Bibi mbaya asiyevutia mwenye muonekano kama mwanaume!

Lazima kutakuwa na kitu nyuma ya Pazia
 
Mke mwenyewe alikuwa mwalimu wake wa shule, kwa hiyo makofi na viboko bado vinaendelea.

Huyu mama ni Bully kama waalimu wengine
Alikuwa high school akiwa na umri wa miaka 15 na jimama 39 wakaanza mahusiano shuleni.
Wazazi wa huyo kijana watakuwa wanasikitika sana maishani mwao.
Sasa huyo macron atapataje watoto?
 
Europe wataipatapata awamu hii.

Nadhani wanaombea Trump amalize muhula wake ili wapumue.

Marekani ikiwapendeza wabadili katiba Trump agombee tena na wampe kura za kishindo.
Hii ya kubadili katiba aendelee utaipata kwa Shithole countries tu.
 
ambaye wengi wamekuwa wakimtuhumu kuwa si mwanamke kwamba jinsia yake ni mwananume na hata amemzidi umri Rais Macron.
Was it necessary? Nani alituhumu? Hao watoto wake alizaa vipi kama ni mwanaume?

Kingine mwanamke kukuzidi umri ndio justification kuwa alimpiga? Wapo wanaume wengi tu 60+ wanakua harassed sana na wake wadogo in 20s. So sijaona essence ya hiyo paragraph.
 
Wivu tu, waache maneno kwenye ndoa za watu, hata Michelle Obama walimwandama na maneno kama haya
 
Back
Top Bottom