Trump ame-'tweet' kuwa alishinda kwa kura nyingi, twitter wakanusha

Trump ame-'tweet' kuwa alishinda kwa kura nyingi, twitter wakanusha

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani yamemtangaza Joe Bidden kuwa Rais wa Marekani baada ya kumshinda Donald Trump.

Trump ameonekana kutoridhika na hali hiyo ametweet kuwa alishinda kwa kiasi kikubwa.

Mtandao wa twitter umeongezea link kwenye tweet ya Trump kuonyesha matokeo halisi yaliyotangazwa.

 
HV mkuu ni kweli Tanzania imekuwa kijani kitupu?
Hahah kwa sasa ni kijani tupu tena kijani kibichi mkuu.
download.jpg
 
Mahera wa Marekani kapuuza Madai ya wizi wa kura kama Mahera wa Tz alivyopuuza madai hayo
 
Tweet wamenunuliwa na mabeberu kumuangusha Trump alisikika mwanachama mmoja...



Cc: mahondaw
 
Nasema hivi msiponichagua mimi na wabunge wa Democratic hapa sitaleta umeme na maji uzuri mimi ni msema kweli,tumechelewa sana-BIDEN.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom