Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ha ha haWampige na ban juu!
HV mkuu ni kweli Tanzania imekuwa kijani kitupu?Nasema hivi msiponichagua mimi na wabunge wa Democratic hapa sitaleta umeme na maji uzuri mimi ni msema kweli,tumechelewa sana-BIDEN.
🤣🤣Hawa twita hichi kiburi wanapata wapi, Trump amtume IGP wa marekani aende akamkishe adabu huyo mutu.
Twita wanatumika na mabeberu wa Afrika kumhujumu Trump
Hahah kwa sasa ni kijani tupu tena kijani kibichi mkuu.HV mkuu ni kweli Tanzania imekuwa kijani kitupu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Nasema hivi msiponichagua mimi na wabunge wa Democratic hapa sitaleta umeme na maji uzuri mimi ni msema kweli,tumechelewa sana-BIDEN.