Trump amechomoa betri ghafla, serikali za Afrika zenye viongozi walioshindwa kutumia rasilimali za nchi zao hawajui nini wafanye

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.

Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never

Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.

Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?

Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.

Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.

Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.

Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
 
Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi insishi kwa misaada.
Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.
Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
Kwanini tuishi kwa kukopa inamaana tumesahau kujifunga mikanda ?

Mfano unakopa milioni 10 kwa riba Leo ili ununue gari kurejeshe ndani ya mwaka mmoja kwanini usinunue gari bila kukopa jiwekee akiba kwa miaka 2

Vile vile serikali kukopa trilioni 3 ni aibu tu wakati inaweza kuizalisha yenyewe
 
Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.
Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never
Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.
Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?
Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.
Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.
Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.
Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
 
Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    1.1 MB · Views: 3
  • EB1a2SzUcAANopf.jpg
    EB1a2SzUcAANopf.jpg
    77.8 KB · Views: 2
  • images (13) (1)~2.jpeg
    images (13) (1)~2.jpeg
    16.3 KB · Views: 5
Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.
Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never
Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.
Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?
Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.
Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.
Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.
Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
Wanaishi kwa mapambio,wakitegemea kuendesha nchi😂
 
Attachments

  • VID-20250128-WA0033.mp4
    3.9 MB

Hili agizo hapa ndio mbaya haswa!
1738124921373.png
 
Tuna cha kufanya kama waafrika...tusiongeze maambukizi mapya ya waathirika wa vvu, tutumie vyandarua wakati wa kulala na kwa wamama wajawazito wajitahidi KUFUATA ushauri muda wote wa ujauzito na kupata chanjo.Mengine tutajua mbele ya safari tusiogope ila tujipange na kusonga mbele
 
Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.

Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never

Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.

Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?

Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.

Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.

Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.

Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
WEwe unahisi wanajali sana? Familia na ndugu zao wanatibiwa abroad, hapa watapiga piga domo wakiamua halafu kwisha mkajitegemee.
 
Kwanini tuishi kwa kukopa inamaana tumesahau kujifunga mikanda ?

Mfano unakopa milioni 10 kwa riba Leo ili ununue gari kureshe ndani ya mwaka mmoja kwanini usinunue gari bila kukopa jiwekee akiba kwa miaka 2

Vile vile serikali kukopa trilioni 3 ni aibu tu wakati inaweza kuizalisha yenyewe
Mikopo ni biashara ya kupatia 10% robo tatu ya pesa za mikopo zinarudishwa nje kufichwa kwenye mabenk yao na wezi wa Africa na hili sio kwamba hawajui bali ni mkakati wa kuidumaza Africa itegemee misaaada izidi kuwa masikini.
Wamepigiwa sana kelele wakitaka kuisaidia Africa wakabidhi miradi wao wenyewe wasitoe pesa kama alivyofanya japani alijenga mwenyewe shule za msingi au madaraja maana akipewa mswahili ataenda nunua malori au mabus na sio kuzifikisha kwa walengwa
 
IbrahimTraore anatufunulia wa Africa, anawaonyesha waafrika kwamba viongozi wetu wanatuchezea akili, (sharubu)
 
Raslimali moja tu ya wilaya moja nchini inaweza endesha nchini.
Mfano madini tu ya wilaya ya Ulanga na Tunduru ndio yanakuza uchumi wa nchi ya Thailand na Sri Lanka wanayachukua wanayaprocess wanauza ulaya kwnn sisi tusiprocess wenyewe tuuze nje
Sisi tunalaana tupu sababu ya kuongozwa na watu wajinga tupu
 
Back
Top Bottom