Trump amesema ataisimamia venezuela huku upigaji, ufisadi na mauwaji ukikomeshwa

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Marekani ni nchi ya kidemokrasia yenye mifumo imara na imeundwa na watu wenye aslli tofauti tofauti hayo mafuta ambayo serikali ya marekani itachimba itayatumia kuinua uchumi wa nchi ya venezuela na kushusha gharama za maisha kwa wananchi kwa uwiano.

ikumbukwe Marekani hakuna upigaji wa mwanasiasa au wizi au ufisadi kule ni katiba inaongea sio nchi za kiafrika. bora kutawaliwa na marekani kuliko hawa wauwaji na mafisadi rasilimali zinanufaisha familia zao tu.

Ndio maana wavenezuela wameshangilia mabadiliko hayo na wataunda serikali mpya hivi karibuni.
 
Safi sana, Trump kawageuka Madikiteta hatua za mwisho mwisho
 
Marekani ni nchi ya kidemokrasia yenye mifumo imara na imeundwa na watu wenye aslli tofauti tofauti hayo mafuta ambayo serikali ya marekani itachimba itayatumia kuinua uchumi wa nchi ya venezuela na kushusha gharama za maisha kwa wananchi kwa uwiano.

ikumbukwe Marekani hakuna upigaji wa mwanasiasa au wizi au ufisadi kule ni katiba inaongea sio nchi za kiafrika. bora kutawaliwa na marekani kuliko hawa wauwaji na mafisadi rasilimali zinanufaisha familia zao tu.

Ndio maana wavenezuela wameshangilia mabadiliko hayo na wataunda serikali mpya hivi karibuni.
Wewe ni mwerevu wa mwisho kabisa. Kama hivyo ndivyo unavyotaraji na hata kwa uchochezi unaofanya kwa Tanzania, bila shaka kiwango chako cha werevu inabidi kipimwe kwa tonnage. Hivi unazungumzia Marekani hii hii au nyingine?
 
Marekani ni nchi ya kidemokrasia yenye mifumo imara na imeundwa na watu wenye aslli tofauti tofauti hayo mafuta ambayo serikali ya marekani itachimba itayatumia kuinua uchumi wa nchi ya venezuela na kushusha gharama za maisha kwa wananchi kwa uwiano.

ikumbukwe Marekani hakuna upigaji wa mwanasiasa au wizi au ufisadi kule ni katiba inaongea sio nchi za kiafrika. bora kutawaliwa na marekani kuliko hawa wauwaji na mafisadi rasilimali zinanufaisha familia zao tu.

Ndio maana wavenezuela wameshangilia mabadiliko hayo na wataunda serikali mpya hivi karibuni.
Mkuu umesahau Libia,Iraq, Afghan kilichobakia ni wao kwa wao kutifuana wakati mambo mengine yakiendelea,kumbuka aliochukuliwa ni mtu mmoja Madulo pekeyake.
 
Back
Top Bottom