Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
jiongezeYaani Venezuela iongozwe kutokea Washington DC?..
Safi sana, Trump kawageuka Madikiteta hatua za mwisho mwishoMarekani ni nchi ya kidemokrasia yenye mifumo imara na imeundwa na watu wenye aslli tofauti tofauti hayo mafuta ambayo serikali ya marekani itachimba itayatumia kuinua uchumi wa nchi ya venezuela na kushusha gharama za maisha kwa wananchi kwa uwiano.
ikumbukwe Marekani hakuna upigaji wa mwanasiasa au wizi au ufisadi kule ni katiba inaongea sio nchi za kiafrika. bora kutawaliwa na marekani kuliko hawa wauwaji na mafisadi rasilimali zinanufaisha familia zao tu.
Ndio maana wavenezuela wameshangilia mabadiliko hayo na wataunda serikali mpya hivi karibuni.
Nakumbuka Iraq baada ya Sadam kudakwa aliwekwa pale Mmarekani mmoja kwa jina la Paul Bremer. Wamarekani hawakosagi njia ya kutoka wakishafanya yaoYaani Venezuela iongozwe kutokea Washington DC?..
Much better, maana walipojiongoza wenyewe ndio wameishia kuuana, kutekana, na unyama mwingi wa aina hiyo.Yaani Venezuela iongozwe kutokea Washington DC?..
Wewe ni mwerevu wa mwisho kabisa. Kama hivyo ndivyo unavyotaraji na hata kwa uchochezi unaofanya kwa Tanzania, bila shaka kiwango chako cha werevu inabidi kipimwe kwa tonnage. Hivi unazungumzia Marekani hii hii au nyingine?Marekani ni nchi ya kidemokrasia yenye mifumo imara na imeundwa na watu wenye aslli tofauti tofauti hayo mafuta ambayo serikali ya marekani itachimba itayatumia kuinua uchumi wa nchi ya venezuela na kushusha gharama za maisha kwa wananchi kwa uwiano.
ikumbukwe Marekani hakuna upigaji wa mwanasiasa au wizi au ufisadi kule ni katiba inaongea sio nchi za kiafrika. bora kutawaliwa na marekani kuliko hawa wauwaji na mafisadi rasilimali zinanufaisha familia zao tu.
Ndio maana wavenezuela wameshangilia mabadiliko hayo na wataunda serikali mpya hivi karibuni.
Unashangaa nini? Jipe moyo tu...... China na baba zenu warussia wamejifungia ndani na kujificha uvunguni.Yaani Venezuela iongozwe kutokea Washington DC?..
Mkuu umesahau Libia,Iraq, Afghan kilichobakia ni wao kwa wao kutifuana wakati mambo mengine yakiendelea,kumbuka aliochukuliwa ni mtu mmoja Madulo pekeyake.Marekani ni nchi ya kidemokrasia yenye mifumo imara na imeundwa na watu wenye aslli tofauti tofauti hayo mafuta ambayo serikali ya marekani itachimba itayatumia kuinua uchumi wa nchi ya venezuela na kushusha gharama za maisha kwa wananchi kwa uwiano.
ikumbukwe Marekani hakuna upigaji wa mwanasiasa au wizi au ufisadi kule ni katiba inaongea sio nchi za kiafrika. bora kutawaliwa na marekani kuliko hawa wauwaji na mafisadi rasilimali zinanufaisha familia zao tu.
Ndio maana wavenezuela wameshangilia mabadiliko hayo na wataunda serikali mpya hivi karibuni.
Duh!! Una utoto sana!!Much better, maana walipojiongoza wenyewe ndio wameishia kuuana, kutekana, na unyama mwingi wa aina hiyo.
Tulia we mchepuko wa Mbowe.Duh!! Una utoto sana!!