sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Aliahidi ndani ya saa 24 za kua ofisini atasitisha vitaa ya Ukraine, ila mpaka sasa ni kama ameshaona moto ni mkali sana. Zaidi alivyoondoa misaada Ukraine ndio Russia itajipigia zaidi.
Huyu mzee kitu pekee anachoweza kukifanya ni kumridhisha Israel
Huyu mzee kitu pekee anachoweza kukifanya ni kumridhisha Israel