sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,639 Reaction score 5,767 Feb 1, 2025 #1 Aliahidi ndani ya saa 24 za kua ofisini atasitisha vitaa ya Ukraine, ila mpaka sasa ni kama ameshaona moto ni mkali sana. Zaidi alivyoondoa misaada Ukraine ndio Russia itajipigia zaidi. Huyu mzee kitu pekee anachoweza kukifanya ni kumridhisha Israel
Aliahidi ndani ya saa 24 za kua ofisini atasitisha vitaa ya Ukraine, ila mpaka sasa ni kama ameshaona moto ni mkali sana. Zaidi alivyoondoa misaada Ukraine ndio Russia itajipigia zaidi. Huyu mzee kitu pekee anachoweza kukifanya ni kumridhisha Israel
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Feb 1, 2025 #2 Kwahiyo wewe ndo msemaji wa hiyo vita..?
Masanja JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 5,319 Reaction score 10,416 Feb 1, 2025 #3 sanalii kwa hiyo na wewe uliamini kwamba Trump anaweza kuimaliza vita ya Ukraine ndani ya masaa 24? Duh….
sanalii kwa hiyo na wewe uliamini kwamba Trump anaweza kuimaliza vita ya Ukraine ndani ya masaa 24? Duh….
TheForgotten Genious JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 2,087 Reaction score 3,156 Feb 1, 2025 #4 Aache kupambana na mambo muhimu ya ndani akapambane na ya watu