Trump amezitaka Nchi za Africa kuachana na matumizi yasiyo ya Lazima kwani hiyo ndio Sera yake ya Sasa ndani ya Marekani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho

Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote

Credit: Fox news

Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
 
Ndiyo maana nilikuwa natamani sana Trump awe rais. Wajinga wanachukuwa fedha za misaada wanasafirisha ma-chawa wa Samia nchi za nje.
 
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho

Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote

Credit: Fox news

Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
Waache vieite!!!
 
Wakusema anaupiga mwingi ni huyu jamaa salute kwake, viongozi wengine waige Kwa maslahi ya nchi zao.
 
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho

Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote

Credit: Fox news

Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
Lissu baada ya kufeli michango ya V8 kwa wananchi akaona mchongo ni kuchukua uwenyekiti azipige za ruzuku kununulia v8 muda wowote litanunuliwa!
 
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho

Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote

Credit: Fox news

Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
sawa ndugu.
Kwenye taifa lako hayo matumizi yapo ?
 
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho

Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote

Credit: Fox news

Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
Taarifa ya CAG ya 2022-2023 na 2023-2024 inasemaje juu ya mashirika, tamisemi na serikali kwa ujumla. Baadae ndipo tuifikie hiyo Chadema.
 
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho

Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote

Credit: Fox news

Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
Nakubali
 
Back
Top Bottom