johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho
Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote
Credit: Fox news
Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼